Seriously nammiss mdogo wangu @amu

Muulize KakaKiiza,mara ya mwisho ndo alionekana naye.
Kopi: afande kova
nilishawahi kumwiliza KakaKiiza kwenye uzi fulani hivi, maana niliona ule uzi aliouanzisha nikadhani labda kamficha
lakini KakaKiiza alisema naye hajui kapotelea wapi....
labda wewe DON nisaidie kumwulizia
 
Last edited by a moderator:

Kawa mkiristo yumo humu nahumu kwenye uzi huu utamkuta ukitumia lenzi yenye lenzi mbinua lakini ukitumia lenzi mbonyeo utahangaika sana
CC: Asprin, Kaizer, sosoliso, snowhite, Paloma!!
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
mhhh adwe FP ulibaha??

waombe FBI wakutafutie huyo mdogo wako.....pengine wakapata sketch yake ikazaa matunda....yuu neva noo!!!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…