Seriously nammiss mdogo wangu @amu

so do i! Blaine ur missed dear!
dada mkubwa FP kwani huu uzi si ni kila mtu aliyemmiss mdogo wake ,mwanae afiki yake anaruhusiwa kusema!
kwa sasa ruksa kuchakachua mdogo wangu......
nilichokuwa natafuta nimepata.....thanx kwa hints....
halafu nakudai ujue wewe dogo! usifikiri sababu sina meno ndo unichukulie poa poa tu....
 
rahaje sasa ukiaminiwa hivi na dadako mkubwa!
nimekujamo dadangu![
nini mbaya?????QUOTE=FP;6159424]namsubiri, atakuja tu[/QUOTE]
 
huyu mwali hata mimi nimemmiss sana....
ukimwona mwambie namba yangu ni ile ile haijabadilika
au itakuwa kale kasredi kamezaa matundamo!
anaweza kuwa kajimuzisha huyu!
eti Dark City kwani ile nauli ilipatikanamo!???
jamani sasa ndio tusiambiane??
kwenye kiangazi tuuunguzwe wote vuli mwaila peke yenu!
cc gfsonwin
 
Last edited by a moderator:
kwa sasa kila kitu bomba kabisa
tatizo lako una akili sana!
af kuna muda huwa hutakagi kuzitumia!
kuna maeneo mimi huwa nataka sana utumie hiyo mibreini af unajitia wa juuuuuuzi!
ah!
unaniuziga mimi!
 
tatizo lako una akili sana!
af kuna muda huwa hutakagi kuzitumia!
kuna maeneo mimi huwa nataka sana utumie hiyo mibreini af unajitia wa juuuuuuzi!
ah!
unaniuziga mimi!
ha haaaa, mdogo wangu taratibu.......
si unajua mambo yetu? always tunasoma kwanza alama za nyakati!!!!!!!
bado nakumbuka mbinu zooooteeeee nilizopewa wakati ule
 
ha haaaa, mdogo wangu taratibu.......
si unajua mambo yetu? always tunasoma kwanza alama za nyakati!!!!!!!
bado nakumbuka mbinu zooooteeeee nilizopewa wakati ule

juzi mpka ikabidi nikupooze moyo bana!
ah!
 
nimemkuta huko!
nishamwona!lol!
nilimmisije sasa??
na we unaenda dom??
utanifanyia booking pale pa siku ile????
mi nipo dom kwenye kikao cha makatibu tarafa......
mbunge wetu eti katupa offer tufanyie kikao dom....
kila siku kumpitimbi tulichoka, lol!
 
ahhahahhahahhahaha haya bana!
poa, kama unataka kutujoin nitakufanyia booking....
ila tunakutana leo jioni, utawahi kweli?
au tusubiri usiku utumie ule usafiri wa jadi?
 
Kama bado hujampata tuunde kamati!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…