johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mwenyekiti wa kamati ya bunge ya Huduma za jamii ameitaka serikali kwenda kujifunza Rwanda ambako raia wote wa nchi hiyo wana Bima za afya.
Serukamba amedai wananchi wanyonge wa Rwanda ambao ni kama 4% ya wananchi wote wanalipiwa bima zao na serikali.
Serukamba amesema hayo wakati akifunga mjadala wa ripoti ya kamati yake.
Kadhalika Serukamba ameitaka serikali kuangalia upya mitaala ya Elimu kwani elimu yetu haimuwezeshi mhitimu kuendena na kasi ya mabadiliko ya teknolojia duniani.
Source TBC!