johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Bwashee una ushahidi?!Hii iga iga Rwanda imeifanya Tanzania kuwa nchi ya ovyo sana dunia. Tumekuwa wauaji, watedaji. Ovyo sana kiga iga magaidi.
Eeeeeeeeeh..kumbe, Mkuu huyo Mbuzi JHIKE ndio anapambana na ma-BEBERU?Kwa utawala gani? Huyu mbuzi jike analolakujifunza
Wewe huyu ambae hata hela ya ku-save unamuomba mama yako akutunzie?Mnaisemea rwanda nchi yenye ukubwa km za mraba ambazo hata dsm ni kubwa.hata mim naweza toa bima ya bure kabisa
Mnaisemea rwanda nchi yenye ukubwa km za mraba ambazo hata dsm ni kubwa.hata mim naweza toa bima ya bure kabisa
Huwezi kua msafi jalalani .JAMAA MKWELI HATOBOI 2020
IPO siku naamini tutafika kwamba kila mtanzania awe na bima hasa kwa wasio na uwezo wazo zuri ila aliwezi tekelezwa kwa haraka hii nikutokana na ukubwa Wa nchi na idadi tuliyonayo na hapo ndo huwa napata shida pale viongozi wanapolinganisha mambo mengine na kijiji kama Rwanda alafu na tz linganisha na nchi angalau tunazokaribia Nazi kwa ukubwa tuone wao swala kama hili wanalitekeleza vipi mfano Kenya,Uganda ,na nchi zingine sio linganisha hicho kijiji sijui hats kama population ya watu mil nne kama inafika tuna fail sana
Sawa ndo maana nikaja neno sijui sasa hata ingekua mil 14 unalinganishaje na tz ambapo pop ni mara tatu na zaidi iyo ni akili au matope ata kama hukupata elim bure kama mimi na inakusaidia nini kama unashindwa dadavua kitu kidogo kama hiki si bora wakina msukuma waendelee kuwa bungen maana udadavuzi wake ni mara kumi ya nyie ambao hamkusoma shule za bureDaah elimu bure ni shida sana aisee.
Population ya Rwanda ni zaidi ya watu mil 12.
dodge
Sawa ndo maana nikaja neno sijui sasa hata ingekua mil 14 unalinganishaje na tz ambapo pop ni mara tatu na zaidi iyo ni akili au matope ata kama hukupata elim bure kama mimi na inakusaidia nini kama unashindwa dadavua kitu kidogo kama hiki si bora wakina msukuma waendelee kuwa bungen maana udadavuzi wake ni mara kumi ya nyie ambao hamkusoma shule za bure