muzi
JF-Expert Member
- Jun 17, 2016
- 1,041
- 1,457
Habari wapwa na natumahi tunaendelea kunawa mikono kama ilivyo ada.
Kwa thread hii tuzungumzie service inayohitajika kufanyika kwa magari yetu mara kwa mara. Wengi wetu tumekuwa tukitengeneza magari yetu pindi zinapoharibika lakini wataalamu wanatushauri kubadilisha aina na baadhi ya vifaa pale gari inapofikia mileage au kilometers kiasi fulani.
Service amabayo wengi wetu tumekuwa tukifanya ni:

- Kubadili oil baada ya km 3,000 wengine 5,000 kutegemea na aina ya oil iliyotumika
- Kubadili filter
- Kubadili plug
- Kuweka greasing kila service
- Kubadili matairi yanapochakaa
- Kubadili Gear box oil baada ya km XXXX ila wengine mpaka tukumbushwe na mafundi
- Zingine ni moaka pale taa ya check engine iwake
- Ongeza service au vifaa vinavyotakiwa kubadilishwa baada ya muda fulani kwenye magari yetu, karibu sana tujuzane