Service inayohitajika mara kwa mara kwa gari yako

Service inayohitajika mara kwa mara kwa gari yako

muzi

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2016
Posts
1,041
Reaction score
1,457
Habari wapwa na natumahi tunaendelea kunawa mikono kama ilivyo ada.

Kwa thread hii tuzungumzie service inayohitajika kufanyika kwa magari yetu mara kwa mara. Wengi wetu tumekuwa tukitengeneza magari yetu pindi zinapoharibika lakini wataalamu wanatushauri kubadilisha aina na baadhi ya vifaa pale gari inapofikia mileage au kilometers kiasi fulani.
Service amabayo wengi wetu tumekuwa tukifanya ni:
  • Kubadili oil baada ya km 3,000 wengine 5,000 kutegemea na aina ya oil iliyotumika
  • Kubadili filter
  • Kubadili plug
  • Kuweka greasing kila service
  • Kubadili matairi yanapochakaa
  • Kubadili Gear box oil baada ya km XXXX ila wengine mpaka tukumbushwe na mafundi
  • Zingine ni moaka pale taa ya check engine iwake
  • Ongeza service au vifaa vinavyotakiwa kubadilishwa baada ya muda fulani kwenye magari yetu, karibu sana tujuzane
  • 1591247641169.png
 
Nimesahau zingine kama
  • Kunadili fan belt kama imechoka
  • Kuongeza maji kwenye betri na regetor
  • Kuongeza mfuta ya brek jeki
  • Kuweka mafuta ndo wimbo wa kwanza ukiingia kwenye gari
  • Kuwa na hela kidogo mfukoni kwa ajili ya kunguru weupe barabarani kwa makosa kama speed, na penalty za kawaida
 
Usifanye kitu kisa umesikia...

Soma Owners Manual ya gari husika.

Kuna gari nilitaka badili ATF nikaenda soma dip stick ikanambia at any time do not change this fluid...

Fungua bonnet usome dip yako yasemaje
 
Back
Top Bottom