Service industry

leme

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2010
Posts
351
Reaction score
162
Naombeni ushauri. Nina kiwanja changu title deed yake ni service industry. nilikipata kwa mbinde sana baada ya afisa ardhi kunitaka nifafanue service industry gani ntaweka,, kusema hospitali akachomoa,, nikamwambia mashine ya kusaga akakubali,, tatizo ni eneo ambalo bado halijachangamka.. ni service industry gani nyingine naweza kuweka ukiacha mashine ya kusaga au gereji?? ..asanteni
 
......................kwa wale wataalam wa utalii......ni zile biashara zinazo provide ..Ukarimu.....Hospitality......hajakuambia huduma za jamii??????????kwa ni kuna utafauti mkubwa saana.....unachotaka kufanya na maana halisi ya hiyo term
 
Kwa kweli bado sijajua nipafanyie biashara gani,,, huduma za jamii kama hospitali wamekataa hata gesti house wamekataa,, unaweza kunishauri nijenge kitu gani watakachokubaliana nacho?
 
Kwa kweli bado sijajua nipafanyie biashara gani,,, huduma za jamii kama hospitali wamekataa hata gesti house wamekataa,, unaweza kunishauri nijenge kitu gani watakachokubaliana nacho?
........................hilo eneo liko karibu na nini........limezukukwa na nitu gani............walipokuambia service industry uliwaelewa wanamaanisha nini?.......tambua kuna tofauti kati ya huduma za jamii na hizo biashara za ukarim........ukinipa picha...eneo liko sehemu gani.....limepakana na nini......majirani zako wanafanya nini......kunabarabara.....ntaweza kukushauri vizuri
 
Thanks for your response bro... eneo linapakana na residential plots nyingine ingawa kwa sehemu kubwa havijaendelezwa bado ni porini kidogo na miundombinu kama maji na umeme havijafika,, mita kama 500 hivi ktoka kwenye kiwanja kuna eneo kubwa lililotengwa kwa ajili ya chuo, pia karibu na hilo eneo la chuo kuna service industry nyingine ambayo mwenyewe kazungushia uzio na haijaendelezwa... kwa ujumla ni sehemu ambayo bado haijachangamka na miundo mbinu bado. Kulikuwa na dalili za ujenzi wa hicho chuo jirani baadae zikafa na hivyo mwendelezo wa miundo mbinu yote ikasitishwa,,, najaribu kutafuta idea siku za mbeleni nifanye kitu gani, kupauza nisingependa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…