leme
JF-Expert Member
- Mar 11, 2010
- 351
- 162
Naombeni ushauri. Nina kiwanja changu title deed yake ni service industry. nilikipata kwa mbinde sana baada ya afisa ardhi kunitaka nifafanue service industry gani ntaweka,, kusema hospitali akachomoa,, nikamwambia mashine ya kusaga akakubali,, tatizo ni eneo ambalo bado halijachangamka.. ni service industry gani nyingine naweza kuweka ukiacha mashine ya kusaga au gereji?? ..asanteni