M Manyerere Jackton JF-Expert Member Joined Dec 11, 2012 Posts 2,438 Reaction score 4,456 Oct 4, 2018 #1 Napenda kujua wapi ambako nitapata wataalamu wa service kwa Alphard. Ningependa kupata wataalamu wa mechanical, umeme, AC etc Naomba msaada
Napenda kujua wapi ambako nitapata wataalamu wa service kwa Alphard. Ningependa kupata wataalamu wa mechanical, umeme, AC etc Naomba msaada
Wick JF-Expert Member Joined Dec 19, 2012 Posts 8,313 Reaction score 12,170 Oct 4, 2018 #2 Manyerere Jackton said: Napenda kujua wapi ambako nitapata wataalamu wa service kwa Alphard. Ningependa kupata wataalamu wa mechanical, umeme, AC etc Naomba msaada Click to expand... Mkuu hilo gari lako lipo juu balaa na mule ndani lilivyokaa unaweza jihisi upo ghorofani!.. Nimeyapenda yalivyokaa tu ndani!. Anyway ungewaambia unapokaa mfano mtu wa Mwanza akikuambia sehemu kumbe upo Arusha si usumbufu!.. Nakutakia matunzo mema!🙂
Manyerere Jackton said: Napenda kujua wapi ambako nitapata wataalamu wa service kwa Alphard. Ningependa kupata wataalamu wa mechanical, umeme, AC etc Naomba msaada Click to expand... Mkuu hilo gari lako lipo juu balaa na mule ndani lilivyokaa unaweza jihisi upo ghorofani!.. Nimeyapenda yalivyokaa tu ndani!. Anyway ungewaambia unapokaa mfano mtu wa Mwanza akikuambia sehemu kumbe upo Arusha si usumbufu!.. Nakutakia matunzo mema!🙂