Service ya Toyota Alphard

Service ya Toyota Alphard

Manyerere Jackton

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2012
Posts
2,438
Reaction score
4,456
Napenda kujua wapi ambako nitapata wataalamu wa service kwa Alphard. Ningependa kupata wataalamu wa mechanical, umeme, AC etc
Naomba msaada
 
Napenda kujua wapi ambako nitapata wataalamu wa service kwa Alphard. Ningependa kupata wataalamu wa mechanical, umeme, AC etc
Naomba msaada
Mkuu hilo gari lako lipo juu balaa na mule ndani lilivyokaa unaweza jihisi upo ghorofani!.. Nimeyapenda yalivyokaa tu ndani!.
Anyway ungewaambia unapokaa mfano mtu wa Mwanza akikuambia sehemu kumbe upo Arusha si usumbufu!..
Nakutakia matunzo mema!🙂
 
Back
Top Bottom