Set nzima ya WIX

Usichanganye utakuwa mweupe. Serum ni ya kwenye cream tu. Mimi serum moja natumia makopo matatu siweki yote
 

Ungeuliza hayo maswali kabla ya kununua. Nani alikushauri ununue?
 
Naona vile wadada wa jf wanapeana ujuzi wa kutafuta mng'ao, sio wale wa mtaani kwetu wanapenda kutumia 'Body lux lotion'.
Bei nategemea na unaponunulia, goldie inachubua(wenyewe wanasema kunga'arisha)
Maana nimetumia mpaka QUEEN ELIZABETH lakini imenikataa, inaweka weusi chini ya macho.
 
Though haina mafuta sanaa, nimejaribu ambazo zina lemon pia lakini natoka vipele jamani[emoji30]
Jitahidi ukinunua face cream nunua na sabuni yake......sabuni nzuri zipo nyingi mfano kojic, gentlemagic, mena n.k zipo nyingi za kutoa vipele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…