Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Garnier ni nzuri sana, mie nachanganya na L'Oréal...Hii fact nikiwaambiaga wadada wanaona nawaonea gere
Binafsi natumia Garnier products na Pond’s zimenibariki nipo na natural color yangu.
Haizidi 10k
Jaribu the originals ile ya butter
Garnier ina oil control pia... Ngoja nirudi nyumbani nitume uoneMaji ya kunde pia.. tafuta Garnier vitamin C
Ponds oily control Basi tulia
Hiyo uibie ibie ilaaa usisahau sunscreen please
Haha hahaha....Samahanini kina mama haya yote mnaita kun'garisha ni sugar coating ya kujichubua eh?
Inategemea na wapi ananunuaKojic soap OG ni 15,000 kwenda juu dear
Inategemea na wapi ananunua
Ndiyomaana nikasema inategemea ananunua wapi, goldie face cream Sinza unauziwa 20/15 ila kkoo ni elfu nane kamiliLabda Kama Anaagiza India
Ila kwa Tz kwa Bei ya kununulia kule
Hauwezi uza chini ya 15,000
Kama unataka kuwa na rangi yako halisi but inayovutia na yenye afya ukipata hivi itakuwa poa. Sio lazima uwe na vyote unaangalia kipi unahitaji kulingana na ngozi yako. View attachment 2675233
Hahaha asante.. Mie sio mtu wa kupaka makeup zaidi ya lipstick na wanja.. So huwa natumia gharama kubwa kuhakikisha ngozi ya uso inakuwa nzuri so mtu akiniona anadhani nina makeup..Yes [emoji106] upo vizuri..
Picha haifungukiii[emoji34]Kama unataka kuwa na rangi yako halisi but inayovutia na yenye afya ukipata hivi itakuwa poa. Sio lazima uwe na vyote unaangalia kipi unahitaji kulingana na ngozi yako. View attachment 2675233
Ooh pole au ni app unayotumia?Picha haifungukiii[emoji34]
Hakuna anayejua ya kubana K?Hiyo hiyo wix hujakosea dear ongeza scrub tu