Watu milioni 30 wamedungwa hio chanjo hapo Uingereza, wamekufa 7 tu tayari watu wanasema ni hio chanjo. hakuna factors nyengine? Siku hizi watu hawatumii dawa wanatumia chanjo tu? hawali kitu wanakula chanjo tu? magonjwa yaliopo saivi hayampati mtu bali ni chanjo tu ndio chanzo?
Chanjo ni set of instructions for your immune system to learn how to fight the virus
Hiyo wala siyo chanjo. Ni trade war.Watu wanatafuta kila kitu cha kutetea maamuzi ya kijinga ya kutochanjwa.....
Wafuate basi mjinga wewe huko wakakupe hizo chanjo mpuuzi weweUnajua your level of ignorance haina mezani. Neno Astra asili yake ni ya kilatini na lina maana ya STAR
Sasa checki basi ulivyokuwa mjinga zaidi umeonesha translation ya neno Necare badala ya Neca.
Endelea kutizama conspiracy theories. Mnaamini mabeberu wanataka kuwaua wakati kila kukicha mnatumia madawa kutoka kwao. Wapumbavu
Hakuna chanjo wala mama yaake chanjo hapa tz. Na hakuna lockdown wala niniUnajua your level of ignorance haina mezani. Neno Astra asili yake ni ya kilatini na lina maana ya STAR
Sasa checki basi ulivyokuwa mjinga zaidi umeonesha translation ya neno Necare badala ya Neca.
Endelea kutizama conspiracy theories. Mnaamini mabeberu wanataka kuwaua wakati kila kukicha mnatumia madawa kutoka kwao. Wapumbavu
Hii sio chanjo ya kwanza duniani watu washachoma sana hawana mashaka nazo ila unafikiri kwanini mashaka yawe kwa hii chanjo ya corona tu? sasa hivi tunazungumzia kuhusu kuganda kwa damu na kufa kwa hao watu saba tu ila kiukweli hatujui kama hizo chanjo zina side effects zengine ambazo bado hatujazijua na zinaweza zikawa za muda mrefu,hayo ndio mambo ambayo watu wanahofia sababu chanjo zenyewe bado mpya kimsingi bado zipo kwenye majaribio.Watu milioni 30 wamedungwa hio chanjo hapo Uingereza, wamekufa 7 tu tayari watu wanasema ni hio chanjo. hakuna factors nyengine? Siku hizi watu hawatumii dawa wanatumia chanjo tu? hawali kitu wanakula chanjo tu? magonjwa yaliopo saivi hayampati mtu bali ni chanjo tu ndio chanzo?
Chanjo ni set of instructions for your immune system to learn how to fight the virus
Watu wanahofia chanjo kwa sababu ya conspiracy theories TU ambazo kutwa zipo kuwadanganya watu. INternet imechangia sana ueneza conspiracy, nakwambia any new vaccine watu watakuja na their BS about it.Hii sio chanjo ya kwanza duniani watu washachoma sana hawana mashaka nazo ila unafikiri kwanini mashaka yawe kwa hii chanjo ya corona tu? sasa hivi tunazungumzia kuhusu kuganda kwa damu na kufa kwa hao watu saba tu ila kiukweli hatujui kama hizo chanjo zina side effects zengine ambazo bado hatujazijua na zinaweza zikawa za muda mrefu,hayo ndio mambo ambayo watu wanahofia sababu chanjo zenyewe bado mpya kimsingi bado zipo kwenye majaribio.
Ikija nitachukua, sitoendekeza ujinga kama wakoWafuate basi mjinga wewe huko wakakupe hizo chanjo mpuuzi wewe
Usisubiri mpk ije nenda uganda tu hapo ukachanjwe,sio usubiri huku utaletewa utangoja saaanaIkija nitachukua, sitoendekeza ujinga kama wako
Tatizo watu hawaelewi hata hio chanjo inafanyaje kazi. Wao wanaona eti depopulation theory, majanga yanayotokea siku izi ya nature yanatosha kuondosha mafungu ya watu. mijitu inakesha na video za youtube na facebook ikiwadanganya. Mabeberu walitaka chanjo kwanza ije Afrika kwenye huduma mbovu za afya, watu eeeeeh wakasema tumefanywa mbuzi wa kafara wakagoma. Beberu kaona isiwe tabu maana hata kwao Huduma za Afya zimezidiwa wapeane wao kwa wao, saivi wanagombana mabeberu kila mmoja anamlaumu mwenzake dozi hazitoshi.Watu wanatafuta kila kitu cha kutetea maamuzi ya kijinga ya kutochanjwa.....
apo ndo ninapo mkubal hayat magu alikua anaona mbaliHayo mambo ya chanjo yalishatushinda, tuliambiwa tufanye mazoezi na nyungu
Hata nikienda Uganda, priority ni mganda kwanza kabla ya mwengine.Usisubiri mpk ije nenda uganda tu hapo ukachanjwe,sio usubiri huku utaletewa utangoja saaana
Mzee mbona unakaza fuvu sana aisee, Watu hao waliokufa mbona walikuwa wanakula Chakula kila siku, Wanakunywa dawa kila siku, mbona hawajahi kuganda damu ktk ubongo wao?? ina maana walipopata chanjo walibadili mfumo wa vyakula na dawa??Watu milioni 30 wamedungwa hio chanjo hapo Uingereza, wamekufa 7 tu tayari watu wanasema ni hio chanjo. hakuna factors nyengine? Siku hizi watu hawatumii dawa wanatumia chanjo tu? hawali kitu wanakula chanjo tu? magonjwa yaliopo saivi hayampati mtu bali ni chanjo tu ndio chanzo?
Chanjo ni set of instructions for your immune system to learn how to fight the virus
Tz hakuna chanjo wala mama yake na lockdownHata nikienda Uganda, priority ni mganda kwanza kabla ya mwengine.
Na wewe kaza fuvu basi ujiulize watu 29,999,970 mbona hawakuganda damu na wao wamechukua chanjo hio hio?Mzee mbona unakaza fuvu sana aisee, Watu hao waliokufa mbona walikuwa wanakula Chakula kila siku, Wanakunywa dawa kila siku, mbona hawajahi kuganda damu ktk ubongo wao?? ina maana walipopata chanjo walibadili mfumo wa vyakula na dawa??
Naona unatumia nguvu sana kuonesha ujinga... Subiri basi viongozi wako watakapoipokea kwa mikono miwiliTz hakuna chanjo wala mama yake na lockdown
Ukitaka hayo mambo hama nchi usitupigie kelele
Mkuu ulipata hiyo Oxford AstraZeneca? Huogopi kuhusu hizo reported death cases and blood clots effects? Unajiskiaje after hiyo chanjo uliyopata?Kweli imetengenezwa Oxford ila bado watu wanaendelea kuchomwa.
Na mimi nimechomwa nina mwezi sasa tangu nichomwe nasubiri ya pili.
Dawa yoyote Ina side effects zake kuna wengi haikuwadhuru na wachache sana imewadhuru.
utakapokufa wewe nadhani tutaichukua kama case studyWatu milioni 30 wamedungwa hio chanjo hapo Uingereza, wamekufa 7 tu tayari watu wanasema ni hio chanjo. hakuna factors nyengine? Siku hizi watu hawatumii dawa wanatumia chanjo tu? hawali kitu wanakula chanjo tu? magonjwa yaliopo saivi hayampati mtu bali ni chanjo tu ndio chanzo?
Chanjo ni set of instructions for your immune system to learn how to fight the virus
Mkuu ulipata hiyo Oxford AstraZeneca? Huogopi kuhusu hizo reported death cases and blood clots effects? Unajiskiaje after hiyo chanjo uliyopata?