Hakuna shida ikiwa itawasaidia kuondoa ujingautakapokufa wewe nadhani tutaichukua kama case study
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna shida ikiwa itawasaidia kuondoa ujingautakapokufa wewe nadhani tutaichukua kama case study
Hayo unayozungumza wewe ni upande mwengine mi sipo huko kwenye conspiracy theories.Watu wanahofia chanjo kwa sababu ya conspiracy theories TU ambazo kutwa zipo kuwadanganya watu. INternet imechangia sana ueneza conspiracy, nakwambia any new vaccine watu watakuja na their BS about it.
Kwahiyo hapo hitimisho ni nini?Na wewe kaza fuvu basi ujiulize watu 29,999,970 mbona hawakuganda damu na wao wamechukua chanjo hio hio?
Sayansi lazima itoe majibu kwanini kuna watu wanaganda damu kwenye Ubongo na wengine laah, Huwezi kufanya Ratio analysis kwenye Uhai wa watu eti kisa wengi hawagandi wengine wanaganda ndio useme inafaa 100%, Acha kukaza fuvu Dogo. Nyambulika.Na wewe kaza fuvu basi ujiulize watu 29,999,970 mbona hawakuganda damu na wao wamechukua chanjo hio hio?
Ungekaza fuvu lako ungekuwa ushapata majibu kitambo. Wameshasema kuganda kwa damu hakuna mahusiano na chanjo. Damu watu wameanza uganda 2021 baada ya chanjo?Sayansi lazima itoe majibu kwanini kuna watu wanaganda damu kwenye Ubongo na wengine laah, Huwezi kufanya Ratio analysis kwenye Uhai wa watu eti kisa wengi hawagandi wengine wanaganda ndio useme inafaa 100%, Acha kukaza fuvu Dogo. Nyambulika.