Watu wanahofia chanjo kwa sababu ya conspiracy theories TU ambazo kutwa zipo kuwadanganya watu. INternet imechangia sana ueneza conspiracy, nakwambia any new vaccine watu watakuja na their BS about it.
Sayansi lazima itoe majibu kwanini kuna watu wanaganda damu kwenye Ubongo na wengine laah, Huwezi kufanya Ratio analysis kwenye Uhai wa watu eti kisa wengi hawagandi wengine wanaganda ndio useme inafaa 100%, Acha kukaza fuvu Dogo. Nyambulika.

Ungekaza fuvu lako ungekuwa ushapata majibu kitambo. Wameshasema kuganda kwa damu hakuna mahusiano na chanjo. Damu watu wameanza uganda 2021 baada ya chanjo?