Seven kasema Ommy hayupo ICU ameenda hosp kwa uangalizi wa kawaida ila wabongo tunalazimisha Ommy awe ICU hapo tunatamani tumzushie na kifo ili tupige story mingi za marehemu kua kaumwa hiki na kile na mboyoyo kibao.
Wapo wanazi wanalalama kabisa kwa nini taarifa za ugonjwa zinafanywa siri wakati hata zikiwekwa hadharani hawana msaada zaidi ya kutafuta likes na comments,yupo mtu alinifundisha kuheshimu faragha za mtu mwingine mfano ugonjwa ni ustaarabu wa kawaida kwa mgonjwa kuamua taarifaza za ugonjwa wake zimfikie nani hua nashangaa sana mtu anafyatuka tu fulani ana tezi dume khaaaa kweli Bongo nyoso.