witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,704
- 47,260
Sanaa.. Ile combination ya kibakuli na saba wanapenda kuficha sana mambo mambo mengine sio ya kuficha eti! Oooh shauri yao!Kuna member humu. Jana kama sio juzi alisema alienda hosp na kumkuta dimpoz kalazwa mi nadhani tumuamini yule
Hawa watu wenye majina makubwa bongo sio wa kuwaamini
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app