SEVILLA WAJA TANZANIA JE WACHEZE NA SIMBA SC AU YANGA SC?

Karibuni wadau kwa maoni juu ya hiyo mada hapo juu,maana huenda wakacheza mechi moja tu
Nasikia vilabu vyote wameshindwa kuunda timu ya pamoja (all stars) kutoka simba & yanga ili viweze kucheza na Sevilla, hivyo sportpesa imepeleka pendekezo bodi ya ligi ili iandaliwe game moja kati ya hivi vilabu atakayeshinda ndo atacheza na Sevilla! So angalizo langu ipo timu haitatokea uwanjani
 
Icheze na timu ya wananchi wa Tanzania apo kweli itakuwa imefika kiukweli Tanzania, isithubutu kucheza na litimu la mhindi na wawekezaji wa kigeni
 
Wacheze na Dar city combined. . Naonaga team kubwa zikienda Asia wanafanya hivyo
 
Sevila wacheze na bingwa mtetezi ambae akicheza nae pale uwanja wa Mkapa uwanja una uhakika wakujaa!
Ule sio uwanja wa mkapa!!

PALE NI "KWA MCHINA"

Gundu mnauletea uwanja mpaka under 17 wanakojolewa na kila asimamishaye!!!
 
Anaejua mpira kwa hapa bongo ndio acheze na sevila
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…