samakinchanga
JF-Expert Member
- Aug 24, 2014
- 2,024
- 1,233
Karibuni wadau kwa maoni juu ya hiyo mada hapo juu,maana huenda wakacheza mechi moja tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Taifa starsKaribuni wadau kwa maoni juu ya hiyo mada hapo juu,maana huenda wakacheza mechi moja tu
Wacheze na Azam ndo timu inayojielewa saivKaribuni wadau kwa maoni juu ya hiyo mada hapo juu,maana huenda wakacheza mechi moja tu
Nasikia vilabu vyote wameshindwa kuunda timu ya pamoja (all stars) kutoka simba & yanga ili viweze kucheza na Sevilla, hivyo sportpesa imepeleka pendekezo bodi ya ligi ili iandaliwe game moja kati ya hivi vilabu atakayeshinda ndo atacheza na Sevilla! So angalizo langu ipo timu haitatokea uwanjaniKaribuni wadau kwa maoni juu ya hiyo mada hapo juu,maana huenda wakacheza mechi moja tu
Azam hajadhaminiwa na sportpesaWacheze na Azam ndo timu inayojielewa saiv
Wapangiwe timu zote tatu, Yanga, Simba na Azam Sports.Karibuni wadau kwa maoni juu ya hiyo mada hapo juu,maana huenda wakacheza mechi moja tu
Sevilla wanaletwa na Sport Pesa... Azam hana uhusiano wowote na hawa watu.Wacheze na Azam ndo timu inayojielewa saiv
Ule sio uwanja wa mkapa!!Sevila wacheze na bingwa mtetezi ambae akicheza nae pale uwanja wa Mkapa uwanja una uhakika wakujaa!