severinembena
JF-Expert Member
- Jun 2, 2018
- 2,435
- 2,402
[emoji122] [emoji122] Yanga sasa na Mimi nimekuunga mkonoAnaejua mpira kwa hapa bongo ndio acheze na sevila
Kwelii nimeamini tarimba maslahi ichezwe mechi wapate helaNasikia vilabu vyote wameshindwa kuunda timu ya pamoja (all stars) kutoka simba & yanga ili viweze kucheza na Sevilla, hivyo sportpesa imepeleka pendekezo bodi ya ligi ili iandaliwe game moja kati ya hivi vilabu atakayeshinda ndo atacheza na Sevilla! So angalizo langu ipo timu haitatokea uwanjani
Wacheze na makwasukwasu fc wazee wa kulialia wanaonewaWacheze na Azam ndo timu inayojielewa saiv
Usipanic relaxWasituchoshe sie. Waamue wenyewe.
Ujue nimecheka. 😀😀Usipanic relax
Nini cha kunipanikisha sasa hapo Mtani?Usipanic relax
MzimaNini cha kunipanikisha sasa Mtani?
Mbona kama Yanga mna hasira sana siku hzi?Wasituchoshe sie. Waamue wenyewe.
Mie Alhamdulillah Mtani. Sijui wewe Mtani?Mzima
Wala hatuna hasira nimesema tu wachague wenyewe. Hahahaaaaa.Mbona kama Yanga mna hasira sana siku hzi?
Bas nenden mkacheze nyie msje sema Tumeongeza kiporo kingne bure
Na me nko freshMie Alhamdulillah Mtani. Sijui wewe Mtani?
Ila muyafiche mandoo ya michangoWala hatuna hasira nimesema tu wachague wenyewe. Hahahaaaaa.
Wakiamua hivyo tunakwenda kucheza nao kwani Sevila kitu gani bwana. [emoji41][emoji41][emoji41]
Hata mie naona Mtani.Na me nko fresh
Watajuaje sasa kama sisi ni Omba Omba?Ila muyafiche mandoo ya michango
Sevilla kama mtibwa tu why muwaogope bwanaWala hatuna hasira nimesema tu wachague wenyewe. Hahahaaaaa.
Wakiamua hivyo tunakwenda kucheza nao kwani Sevila kitu gani bwana. [emoji41][emoji41][emoji41]
Hebu hukooo!Sevilla kama mtibwa tu why muwaogope bwana
Kuna kitu unakikwepaWasituchoshe sie. Waamue wenyewe.
Hahahaaa. Kitu gani Mtani?Kuna kitu unakikwepa
Wacheze na Azam ndo timu inayojielewa saiv