SEVILLA WAJA TANZANIA JE WACHEZE NA SIMBA SC AU YANGA SC?

SEVILLA WAJA TANZANIA JE WACHEZE NA SIMBA SC AU YANGA SC?

Nasikia vilabu vyote wameshindwa kuunda timu ya pamoja (all stars) kutoka simba & yanga ili viweze kucheza na Sevilla, hivyo sportpesa imepeleka pendekezo bodi ya ligi ili iandaliwe game moja kati ya hivi vilabu atakayeshinda ndo atacheza na Sevilla! So angalizo langu ipo timu haitatokea uwanjani
Kwelii nimeamini tarimba maslahi ichezwe mechi wapate hela
mi namshauri tu aamue kama Yanga au simba kuliko kuleta utapeli
 
Back
Top Bottom