Wapangiwe timu zote tatu, Yanga, Simba na Azam Sports.
Gunga
Tena uzur mech inapgwa saa nane mchana kwa mchina wanaanzia wap kutoka wakisalimika sevilla bas watakua wamepgwa hamsaHebu hukooo!
Wacha uchokozi basi na wewe.
Umefanya nimekumbuka kitu hapa lol.Tena uzur mech inapgwa saa nane mchana kwa mchina wanaanzia wap kutoka wakisalimika sevilla bas watakua wamepgwa hamsa
Mkuu hii ni chuki isiyo na msingi kwa BenUle sio uwanja wa mkapa!!
PALE NI "KWA MCHINA"
Gundu mnauletea uwanja mpaka under 17 wanakojolewa na kila asimamishaye!!!
Hha ha ha kitu gan hcho embu nshirikisheUmefanya nimekumbuka kitu hapa lol.
πππHha ha ha kitu gan hcho embu nshirikishe
[emoji3][emoji3][emoji3]
Eti unapendekeza timu gani icheze na Sevilla? πππWasituchoshe sie. Waamue wenyewe.
Kama ni mechi moja automatic watacheza na simba kwani nadhani wataangalia viwango vya club zote mbili katika chati za CAF na FIFA...Karibuni wadau kwa maoni juu ya hiyo mada hapo juu,maana huenda wakacheza mechi moja tu
π π π π nisaidie kupendekeza Mtani.Eti unapendekeza timu gani icheze na Sevilla? πππ
Nimecheka [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wasituchoshe sie. Waamue wenyewe.
Dada umefanya na mie nicheke. π π π πNimecheka [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mechi zote mlizoshinda Taifa mipango.. Ila mmezoea kupigwa hamsa chezeni naoHapo yanga wamewekwa geresha wanajua wazi anayestahili Ni Simba
Kwani timu zitakazocheza hazipati hela??Kwelii nimeamini tarimba maslahi ichezwe mechi wapate hela
mi namshauri tu aamue kama Yanga au simba kuliko kuleta utapeli
Hahhahah yaan kiukweli ulivyojibu nimecheka sanaDada umefanya na mie nicheke. [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Wanatuchosha tu wakati ni kitu cha kuamua tu kwamba ataacheza na fulani. Bhaas.
kama ni mipango nyie mlishindwa nini kufanya hadi Gor mahia akawapiga nje ndaniMechi zote mlizoshinda Taifa mipango.. Ila mmezoea kupigwa hamsa chezeni nao