SEVILLA WAJA TANZANIA JE WACHEZE NA SIMBA SC AU YANGA SC?

SEVILLA WAJA TANZANIA JE WACHEZE NA SIMBA SC AU YANGA SC?

Sevilla wacheze na Mtibwa ambao wote wapo kwenye position ya nne kwenye ligi zao.
 
Karibuni wadau kwa maoni juu ya hiyo mada hapo juu,maana huenda wakacheza mechi moja tu
Kama ni mechi moja automatic watacheza na simba kwani nadhani wataangalia viwango vya club zote mbili katika chati za CAF na FIFA...
 
Wacheze na timu ya Wananchi,mapato wapewe timu mbovu!
 
Dada umefanya na mie nicheke. [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Wanatuchosha tu wakati ni kitu cha kuamua tu kwamba ataacheza na fulani. Bhaas.
Hahhahah yaan kiukweli ulivyojibu nimecheka sana
 
Yani mnataka wacheze na yanga kweli?
Waingie na MABAKULI wanjani!
 
Back
Top Bottom