Sex 4 grades: Binti achanganyikiwa.......

nipe nikupe au afeli,maana hataki kukaza msuli.
 
She must accept bed degree!
 
Kwa hiyo semister zote kutakua na round za malecturer wanapiga mazigo ili wamsaidie
sasa cha kushangaza mpaka akimaliza anaenda kuripoti utendaji mbovu bosi wake
atakua anapiga huu utakua ni muendelezo wa kupigwa..................................
 
90% ya wasomi wetu wa kike hivyo ndivyo walivyo.
 
Yaani Malecturer wa aina hii, kama Wanafunzi wa Tanzania hawatakuwa na umoja wataendelea kuwasumbua miaka nenda, miaka rudi, Wanafunzi ndani ya Chuo au wa same course wanatakiwa wawe na Umoja na wadeal na watu kama hao, that girl inatakiwa yeye na wenzake au yeye binafsi kama anaweza amuwekee mtego huyo Mbaba, awe na ushahidi wa kutosha, sauti iliyorekodiwa, photos, video, sms, email etc, kisha avitumie au wanafunzi wa hiyo course wavitumie kumtimulisha kazi huyo mtu, hafai, akitimuliwa kama vyuo viwili hivi, ataapunguza tabia yake kama sio kuacha kabisa tabia hiyo, yaani aaibishwe kitaifa na kimataifa, picha, video zake akiongea utumbo wake virushwe kwenye Internet, aaibike mpaka kwa watoto wadogo mtaani kwake, wasiogopewe watu hawa, waaibishwe kwenye vyombo vya habari, internet na watu, wanafunzi, taasisi mbalimbali zinazopambana na unyanyasaji wa kijinsia Tanzania washikilie Bango na wahakikishe Serikali inamfungia kufanya kazi hiyo na kumuadhibu, yaani wakome, Vyuo sio Madanguro, kama wao hawawezi kufundisha bila kulazimisha wapewa na vingine visivyohusiana na masomo, wafanye ishu nyingine, waache wenye nia ya kweli ya kuelimisha Taifa waendelee kufundisha vizazi vipya vya Tanzania, sio kuwaangamiza kwa Ukimwi, badala ya kuwaenezea elimu na kuwapa uwezo wa kutafakari mambo vizuri Tanzania mpya, wanataka kuwapa virusi vyao, embu tujaribu kujali Taifa letu jamani, tuwajali watu wengine ili waendeleze Taifa
get him on tape and sue his @$$. people who take advantage of others make me so mad!! :A S angry::A S angry::A S angry:
 
Since ni kilaza atoe tu mzigo ili afaulu, sio ufutio huo kwamba utaisha.
 

Does the lady asked you to give an advice on the matter, so that you are trying to ask an advice on her behalf? I would have a helpful cancelling if I can have her in contact....! So, aje hapa tujaribu kumshauri nini cha kufanya...!
 


hii lugha uliyotumia hapa ni kishwahili? maana sijaelewa kabisa naona kama umechanganya na kinyumbani, hebu soma upya uandishi wako khaa, kama bata
 
Ukipenda kupokea na wewe uwe mwepesi wa kutoa kumbuka short cut ni mbaya tumia uwezo uliopewa na Mungu.
 
hawa mabinti waache uvivu wa kusoma huyo profesa kamwambia hilo kwa kujua ni mvivu, asome shule vizuri aone kama atafeli,halafu hii tabia ya kusomea vyeti inaliponza taifa, hapo mawazo ya binti ni kupata cheti tu sio kuelewa anachosoma,hebu tubadilikeni.
 
atavua miaka mingapi, na mwisho wa masomo atatunukiwa shahada ya chupi. Kwa nini asiende veta saa hizi angekuwa amemaliza masomo yake na amejiajiri kama fundi mwashi
 
atavua miaka mingapi, na mwisho wa masomo atatunukiwa shahada ya chupi. Kwa nini asiende veta saa hizi angekuwa amemaliza masomo yake na amejiajiri kama fundi mwashi
 
Amwombe Mungu.

Yote yawezekana kwa yeye aaminiye.

Kemea roho ya Ngono
 
shule zenyewe za mtindo wa semister 2 kwa mwaka atalala na wangapi? tena akifanikiwa kupata hilo karatasi hata atakapopata ajira itabidi aendelee kulalwa ili afunzwe kazi... hiyo chain ataiweza kweli? kupata elimu ni jambo la msingi na lazima, lakini si lazima mafaniko ya mtu yatokane na kupata hili karatasi, asome kutoa ujinga na kupata general knowledge, then atafute kitu kingine ambcho atamudu kufanya bila kubanwa na hizo T&Cs za huyo mwalimu
 
Asome kwa bidii na wala asijali vitisho vya huyo mwalimu,ukweli haujifichi na sio mpaka umvulie chupi ndio upate unachotaka,ila kama anapenda vya rahisi ndio atamvulia mpaka konda...
 
Mmmh apo pagumu kusoma anapenda kujiharibia so ishu inahtaji ku2liza akili. Akamshtaki huyo aliyempa hyo kauli.
 
na kama huyo dada ndio huyo mbona mzuriiii ila binaadamu wabaya wanakupatiza ukiwa na shida wakuumbuwe lo!
 
Ruta huyo binti atoe maamuzi magumu maana kutoa Uzazi kwa ajili ya pass si utani, au atafute mvulana mwenye uwezo darasani afanye mazungumzo faragha ya yule kijana ampe somo usiku na mchana...Hamna mtu mjinga duniani ila uzembe tuuuu...Akikamua sana atapita tu hata kwa kucram jamani? Elimu yetu kama ni Africa ni kucram tu I think hata Ulaya pia na Marekani...akae ameze later akatapike that is it..
 
Mh kama anataka apendelewe hata akimegwa sawa tu, aache ujinga apige buku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…