Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
BADILI TABIA tatizo binti ndie anaomba apendelewe bila ya kutoa chochote kile........
get him on tape and sue his @$$. people who take advantage of others make me so mad!! :A S angry::A S angry::A S angry:
Binti mmoja ambaye uwezo wake darasani ni wa kusuasua kajikuta kwenye mtego wa mkufunzi wake ambaye kamwambia bila ya "nipe nikupe" atahakikisha anarudia mtihani na kufeli........binti ajijua hana uwezo lakni karatasi analihitaji akaombee ugali mbele ya safari...ushauri wako anauhitaji.............
kwanza pitia makala hii kabla hujaenda mbali ujue na washauri wengineo wanasemaje..............
Help! My lecturer wants sex for a grade.
![]()
who said life is easier......look at her pondering whether to get laid by an unscrupulous professor.....
jamani mbona hii wawweza kuitengenezea platform nzuri tu? amkubalie atafute vifaa vya kiitelijensia hata kama ni kajikalam tu amtogoe kwa maneno laini ili atae analilihitaji na returns zake kisa wakubaliane waende waka do wakifika b4 bint anarudia tena ili kuthibitisha aloyasema mwanzo sasa hapo ana mblack mail kiukweli aisee.
manake akidropout wengine wanaokuja watautana na hii dhahama so ni bora akimwaga mboa yeye awage ugali