SEX: A taboo for wana Jamii Forums? Just thinking out loud!!







Hata sex ipo hivyo hivyo mwanaume akishiba hamsaidii mwanamke nae ashibe
 
Lemonade mie sio mtoto mdogo. Nina kazi simtegemei mtu hio ni jibu tayari

kua najua there is more to life than sex. Nisipoweka mimi topic

hio nani ataweka? Bucho? si umeona yeye anawaza tu pombe :yawn:

Weka mama, siye wengine hata kujiangalia kwenye kioo tupu zetu tunaona haya....sembuse kuongelea hapa, unawakilisha mawazo ya wasioweza kujisemea
 
Kuna mahala nisema nawaza? Hujanisoma bucho, nimesema napenda.

I wanda akili yako ikoje kama kila mda unawaza pombe. Una familia wewe?

erotica mpnz hujanielewa na mimi , kwani na mimi nimesema nawaza pombe ? au nimesema wengine nao wanawaza hii kitu ? pole kama umekwazika .
 
Weka mama, siye wengine hata kujiangalia kwenye kioo tupu zetu tunaona haya....sembuse kuongelea hapa, unawakilisha mawazo ya wasioweza kujisemea


lemonade una vituko wewe! teh teh teh. Hivi mtu unapojiangalia

tupu kwenye kioo ili iweje? teh teh the. toa jibu mamito ili wasiojiangalia watambue kuna umuhimu.
 
Last edited by a moderator:
erotica mpnz hujanielewa na mimi , kwani na mimi nimesema nawaza pombe ? au nimesema wengine nao wanawaza hii kitu ? pole kama umekwazika .

bucho yaliyopita si ndwele. nimeona neno 'mpenzi' limenilanisha kabisaaa! Mwaaaaah.
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Erotica kamwe sijawahi kudhani kuwa wewe ni zumbukuku.
Pia sikuoni kuwa wewe ni wa ajabu kwa kuongelea haya mambo,sababu yapo yalikuwepo na yatakuwepo.
Yanafanyika kila siku,hata wasiofanya leo iko siku watayafanya.
Mim niliona kama watu walikufurahia sana hasa wababa sababu umekua muwazi zaidi.
Na hakuna mwenye haki ya kujiona mtukufu zaidi yako sababu heri wewe unaandika vinavyoandikika kuna wasiyoongelea haya lakini wayafanyayo hata kuyaandika hayafai kuandikika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…