SEX: A taboo for wana Jamii Forums? Just thinking out loud!!

SEX: A taboo for wana Jamii Forums? Just thinking out loud!!

Mara Erotica ana pepo la ngono. Mara ooh mtu gani topic zote ziwe za ngono. oooh inabidi aombewe.
Waangalie kule!! Siachi! SEX is my Brand name. And Erotica Erocious my name.

I am wandaring, wangapi hapa hawawazi kuhusu ngono hapa na pale? Wangapi mabikira hawajawahi
onja kabisa? Wangapi hawana wapenzi/washirika ngono hapa? Kwanini ni waoga hivo wa kutoa hoja
zenyu? kwa nini mtajivisha utukufu na halil mmejifisha kwenye hizo avatars za oungo na ukweli?
Niigeni mimi, picha ni yangu, jina ni langu, na mawazo ni yangu. haya ninayowakilisha haypo jamii yenyu?

Hivi kumbe ni ajabu sana mtu kuongelea SEX na kuomba ushauri? Hili somo la Sex ni taboo?
Enyweyz leo nina furaha sana. Boi frend wangu kapona, we are in it for a whole weekend. TGIF!


Mwaaaaah. :A S kiss:


IMGP1852.JPG


IMGP1853.JPG


Hata sex ipo hivyo hivyo mwanaume akishiba hamsaidii mwanamke nae ashibe
 
Lemonade mie sio mtoto mdogo. Nina kazi simtegemei mtu hio ni jibu tayari

kua najua there is more to life than sex. Nisipoweka mimi topic

hio nani ataweka? Bucho? si umeona yeye anawaza tu pombe :yawn:

Weka mama, siye wengine hata kujiangalia kwenye kioo tupu zetu tunaona haya....sembuse kuongelea hapa, unawakilisha mawazo ya wasioweza kujisemea
 
Kuna mahala nisema nawaza? Hujanisoma bucho, nimesema napenda.

I wanda akili yako ikoje kama kila mda unawaza pombe. Una familia wewe?

erotica mpnz hujanielewa na mimi , kwani na mimi nimesema nawaza pombe ? au nimesema wengine nao wanawaza hii kitu ? pole kama umekwazika .
 
Weka mama, siye wengine hata kujiangalia kwenye kioo tupu zetu tunaona haya....sembuse kuongelea hapa, unawakilisha mawazo ya wasioweza kujisemea


lemonade una vituko wewe! teh teh teh. Hivi mtu unapojiangalia

tupu kwenye kioo ili iweje? teh teh the. toa jibu mamito ili wasiojiangalia watambue kuna umuhimu.
 
Last edited by a moderator:
erotica mpnz hujanielewa na mimi , kwani na mimi nimesema nawaza pombe ? au nimesema wengine nao wanawaza hii kitu ? pole kama umekwazika .

bucho yaliyopita si ndwele. nimeona neno 'mpenzi' limenilanisha kabisaaa! Mwaaaaah.
 
Last edited by a moderator:
queenkami

Vinifurahishavo ni vingi. SEX ni kipengele tu cha yale yanayonifurahisha. Week ina

siku 7 ikiwa na Masaa 124. Ni mangapi natumia kuzungumzia sex? unadhani mimi kauzu?

unadhani kwa nini situmii ID yangu ya siku zote? sababu ya uzumbukuku na kujifanya

kujua kwa members kwa kujiona watukufu kwa kutokuongelea tu SEX. Waende zao kulee!

No wonder UKIMWI unaongeza kasi. watu hawataki kuongea wanataka ku do tu!
Erotica kamwe sijawahi kudhani kuwa wewe ni zumbukuku.
Pia sikuoni kuwa wewe ni wa ajabu kwa kuongelea haya mambo,sababu yapo yalikuwepo na yatakuwepo.
Yanafanyika kila siku,hata wasiofanya leo iko siku watayafanya.
Mim niliona kama watu walikufurahia sana hasa wababa sababu umekua muwazi zaidi.
Na hakuna mwenye haki ya kujiona mtukufu zaidi yako sababu heri wewe unaandika vinavyoandikika kuna wasiyoongelea haya lakini wayafanyayo hata kuyaandika hayafai kuandikika.
 
Back
Top Bottom