hebu wakupishe huko....nani ambae hatumii hako kakitu....
heri yangu mimi nimeandikiwa na daktari....infwakti w/end hii nina dozi nene.....TGIF....yipeeee
Kirusha roho cha Erotica mbona wamrusha roho Ero hivo? kwa hiyo yeye ni debe tupu?
jombaaa!!..inalia wapi? rchuga au dar!!!....alafu we mbona hukutokea siku ileee sakina???we mtoto umekuwa mwongo eh???....ok....enjoy your day baby........hebu wakupishe huko....nani ambae hatumii hako kakitu....
heri yangu mimi nimeandikiwa na daktari....infwakti w/end hii nina dozi nene.....TGIF....yipeeee
'Sex relieves tension - Love causes it - Marriage Multiplies it!' - RR luvs this Smile niache nayemjua
Huyo ni Ero na Kirusha roho chake in the future. Pefect match made in heaven.
teh teh teh. sasa unataka kujua limejaa nini? or should I say limepungua nini? 😛eep:
Unaijua heaven wewe? Haya weee! So huyo ndo kibabu chako! Look well after him...atakuachia kale ka mzigo cha dhahabu.
Say it...mana hisia zangu zinanituma kuamini limejaa maji ****
Erotica una mambo............lakini there is more to life than sex.............halafu wengine tumekuzwa tofauti, hadi leo tunabana miguu
Ndahani
Umenitukana sana. Basi nimeshindwa, nimejitongozesha, jibembeleza, jigonga. sasa basi!
wapo wanaume wengine ambao watanipenda hivi hivi nilivo. ambao watajua I am real na sijifanyishi.
Na kwamba Ero is their charm. sikutaki tena. haya basi kafanye sherehe ya kufurahi kua naacha kukuzonga.
Imenikwaza sababu sikutegemea kirusha roho changu kinaweza nitamkia haya maneno kwa kadamnasi.