SEX: A taboo for wana Jamii Forums? Just thinking out loud!!

Erotica!mi unaniudhi hilo busu lako tu!nikimaliza kusoma tu post yako nakutana na busu lako bila hiyari yangu....nahisi kama unanibaka!lol!

back to the topic!wanaolalamika kuhusiana na wewe wanapaswa wakuelewe tu...jina lako tu linasema kilakitu....EROTICA=SEXXXXY!
 
Halafu tusi gani tena nimekutukana? Ero huishi vituko!
 
6.jpg

Wengi watu matarajio yetu ni huku Erotica, marrykate

Mkuu nani kakupa ruhusa ya kuweka picha ya Lizzy na Nyani Ngabu ?
 
Last edited by a moderator:
HaAhaaa! ntampendaje mtu asiyejulikana? Au unataka na mimi niwe nalala naye kwenye ndoto?

You think it funny? Ndio mana umenitusi? Nelson Mandelea unampenda unamchukia?
 
Erotica, naomba kuja kuwa refa kwenye mechi ya wikiendi hii ili usimchezee faulo na kumvunja kifaa.

Kutoa demonstresheni ruksa kama ukikosea mahali.
 
Last edited by a moderator:
Erotica!mi unaniudhi hilo busu lako tu!nikimaliza kusoma tu post yako nakutana na busu lako bila hiyari yangu....nahisi kama unanibaka!lol!

back to the topic!wanaolalamika kuhusiana na wewe wanapaswa wakuelewe tu...jina lako tu linasema kilakitu....EROTICA=SEXXXXY!

aawww Mc Tilly Chizenga..
 
Last edited by a moderator:
queenkami

Vinifurahishavo ni vingi. SEX ni kipengele tu cha yale yanayonifurahisha. Week ina

siku 7 ikiwa na Masaa 124. Ni mangapi natumia kuzungumzia sex? unadhani mimi kauzu?

unadhani kwa nini situmii ID yangu ya siku zote? sababu ya uzumbukuku na kujifanya

kujua kwa members kwa kujiona watukufu kwa kutokuongelea tu SEX. Waende zao kulee!

No wonder UKIMWI unaongeza kasi. watu hawataki kuongea wanataka ku do tu!

JF ina forums kadhaa hususan siasa, business, sayansi na technology, dini, sheria, utani n.k. Sikutarajia mtu anayechukia topic za SEX aingie hapa MMU. Hapa ni mahali pake kama hupendi chagua forum inayokufaa. Tusiingilie watu uhuru wa kutoa mawazo.
 
Last edited by a moderator:
Halafu tusi gani tena nimekutukana? Ero huishi vituko!

Ndahani sie kwetu ukiambiwa debe lako limejaa maji ni tusi.

unaweza hata jinyonga ukitukanwa hivo. say hukujua tusahau yaliyopita.
 
Last edited by a moderator:
Ndahani sie kwetu ukiambiwa debe lako limejaa maji ni tusi.

unaweza hata jinyonga ukitukanwa hivo. say hukujua tusahau yaliyopita.

Sisi uswahilini likiwa limejaa maji ni sifa. Ila tunatabia ya kutaka kujua ni maji gani? Just that!
 
Last edited by a moderator:
Erotica, naomba kuja kuwa refa kwenye mechi ya wikiendi hii ili usimchezee faulo na kumvunja kifaa.

Kutoa demonstresheni ruksa kama ukikosea mahali.

Kongosho utanihakikishia haki kutendeka bila upendeleo? kama umewahi rekodi gemu

zozote ulizohudhuria itafaa. hapo pa kutoa demonstresheni ndio hasa pamepandisha cv yako. me likey.
 
Last edited by a moderator:
Erotica mambo? kwanza nilikumiss sana plus ban niliyopata lol......! nimekukosa kweli. nimefurah sana mmepona sasa je ulifanya utafiti wangu kuwa upime kama kuna sukari au la? mm nataka hilo jibu tu.

Hao wanaoona ni tabia taboo kuongelea sex waulize swali jepesi tu kwamba wao ni zao la nini? hapo utapata jibu kuwa watu ana nidhamu za woga tu ambaazo in real ni fiction tu na siyo uhalisia.
 
Last edited by a moderator:
Mie ni refa wa kulipwa
nachezesha finali za makombe ya dunia

trust me, mtafurahia uchezeshaji wangu.

Afu huwa sitoi penati hovyo hovyo bila kujaribu kama goli linafaa.

Kongosho utanihakikishia haki kutendeka bila upendeleo? kama umewahi rekodi gemu

zozote ulizohudhuria itafaa. hapo pa kutoa demonstresheni ndio hasa pamepandisha cv yako. me likey.
 
Last edited by a moderator:
Erotica mambo? kwanza nilikumiss sana plus ban niliyopata lol......! nimekukosa kweli. nimefurah sana mmepona sasa je ulifanya utafiti wangu kuwa upime kama kuna sukari au la? mm nataka hilo jibu tu.

Hao wanaoona ni tabia taboo kuongelea sex waulize swali jepesi tu kwamba wao ni zao la nini? hapo utapata jibu kuwa watu ana nidhamu za woga tu ambaazo in real ni fiction tu na siyo uhalisia.
gfsonwin ina maanisha nini.....jina limevuta akili yangu yote
 
Last edited by a moderator:
Erotica mambo? kwanza nilikumiss sana plus ban niliyopata lol......! nimekukosa kweli. nimefurah sana mmepona sasa je ulifanya utafiti wangu kuwa upime kama kuna sukari au la? mm nataka hilo jibu tu.

Hao wanaoona ni tabia taboo kuongelea sex waulize swali jepesi tu kwamba wao ni zao la nini? hapo utapata jibu kuwa watu ana nidhamu za woga tu ambaazo in real ni fiction tu na siyo uhalisia.

Mambo yako so promising. ila usinikumbushe mambo ya ban! Nimekukosa pia.

nilivo ona jina lako roho ikadunda kama wakati ule nilipokua sifahamu tupo wote. teh teh teh.

Sikujaribu mie huwa si cheat, si waelewa tena shemeji yako kifaa kilighafirika. weekend hii mambo yote. fdbak mon.
 
Pole sana kwakuwa limevuta hisia zako zote but thats the abbreviation which stands for ma creative family.

mmmmh. sasas umevuta na zangu pia. family?? :spy:
 
Back
Top Bottom