Mc Tilly Chizenga
JF-Expert Member
- Feb 7, 2012
- 4,641
- 3,680
Erotica!mi unaniudhi hilo busu lako tu!nikimaliza kusoma tu post yako nakutana na busu lako bila hiyari yangu....nahisi kama unanibaka!lol!
back to the topic!wanaolalamika kuhusiana na wewe wanapaswa wakuelewe tu...jina lako tu linasema kilakitu....EROTICA=SEXXXXY!
queenkami
Vinifurahishavo ni vingi. SEX ni kipengele tu cha yale yanayonifurahisha. Week ina
siku 7 ikiwa na Masaa 124. Ni mangapi natumia kuzungumzia sex? unadhani mimi kauzu?
unadhani kwa nini situmii ID yangu ya siku zote? sababu ya uzumbukuku na kujifanya
kujua kwa members kwa kujiona watukufu kwa kutokuongelea tu SEX. Waende zao kulee!
No wonder UKIMWI unaongeza kasi. watu hawataki kuongea wanataka ku do tu!
Ndahani sie kwetu ukiambiwa debe lako limejaa maji ni tusi.
unaweza hata jinyonga ukitukanwa hivo. say hukujua tusahau yaliyopita.
Mkuu nani kakupa ruhusa ya kuweka picha ya Lizzy na Nyani Ngabu ?
aawww Mc Tilly Chizenga..
Erotica, naomba kuja kuwa refa kwenye mechi ya wikiendi hii ili usimchezee faulo na kumvunja kifaa.
Kutoa demonstresheni ruksa kama ukikosea mahali.
Kongosho utanihakikishia haki kutendeka bila upendeleo? kama umewahi rekodi gemu
zozote ulizohudhuria itafaa. hapo pa kutoa demonstresheni ndio hasa pamepandisha cv yako. me likey.
gfsonwin ina maanisha nini.....jina limevuta akili yangu yoteErotica mambo? kwanza nilikumiss sana plus ban niliyopata lol......! nimekukosa kweli. nimefurah sana mmepona sasa je ulifanya utafiti wangu kuwa upime kama kuna sukari au la? mm nataka hilo jibu tu.
Hao wanaoona ni tabia taboo kuongelea sex waulize swali jepesi tu kwamba wao ni zao la nini? hapo utapata jibu kuwa watu ana nidhamu za woga tu ambaazo in real ni fiction tu na siyo uhalisia.
Erotica mambo? kwanza nilikumiss sana plus ban niliyopata lol......! nimekukosa kweli. nimefurah sana mmepona sasa je ulifanya utafiti wangu kuwa upime kama kuna sukari au la? mm nataka hilo jibu tu.
Hao wanaoona ni tabia taboo kuongelea sex waulize swali jepesi tu kwamba wao ni zao la nini? hapo utapata jibu kuwa watu ana nidhamu za woga tu ambaazo in real ni fiction tu na siyo uhalisia.