SEX: A taboo for wana Jamii Forums? Just thinking out loud!!

Mmmmmhh........ngoja sie wengine tupite tu! Ila kumbukeni kuwa mbio za sakafuni huishia ukingoni na vilevile mfa maji haishi kutapatapa! Jamani simtusi mtu.......nikipata mwaliko nitarudi tena internet cafe nipate kutupia comment nyingine! Lol
 
Hahahaa chezea Erotica weye! Sema mwaya jimwage asiyetaka kusoma aache!
 
Last edited by a moderator:

Word well said. Watu wanapenda yafanyikayo gizani ambayo hayatii utukufu
 
Last edited by a moderator:
baaasi mama @ erotica punguza hasiraee. Tema mate tuwachape
 
Mie naendelea kumulika humu kama kuna mwanngu kachangia huu uzi, nimcharaze bakora..................! Mi sipendagi haya mambo yenyu ya SEX.............. tena wewe Erotica unanikera kweli kwa kutuharibia wenetu..............
:A S-frusty:Lione vile................LOL
 
Last edited by a moderator:

all the best and enjoy. i envy you. usije ukamvunja nanihii yake tena
 
Sio kweli unawakilisha tu...Deep down u like it saana,u can not so obvious talk of something u dont like!! I dont question ur interest in loving sex because infact i like it as wel ila napata utata pale unapojivua "nawakilisha ambao hawawezi kufunguka mawazo yao, mara nisingetoa hii Topic nani angeitoa"
Otherwise SEX is awesome with ryt person!!!
 


Huyo mwanao ulimpata vipi mzee Mtambuzi? teh teh teh.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…