Erotica
JF-Expert Member
- Apr 24, 2012
- 2,513
- 1,735
- Thread starter
- #81
hii wala huwez lazimishwa kufanya ma dia yaani yenyewe inatakaga ila sasa nakauombea usikute na mchana inataka manake sijui utakuwa mgeni wa nani. hukawii kulia na kuwa una mkarikia kila mtu kisa umekosa liwazo. Mimba za hivi ni mtihani sana.
natulia. nataka watoto wenye afya njema. ngoja niongee na mmoja ambae
ataridhia kuwa na mm wakati wote wa hii mimba. mwaaaaah mamito. nitakuwa na wewe hadi nijifungue.