Sex huweza kutumika kama njia kufikia roho yako (sex is a gate way to your soul)

Walimu wa kiroho wanakwambia jitenge na hilo tendo kwa muda wa masaa 72 kabla ya kufanya mazoezi yoyote ya kiroho.
Huo ni uongo au propaganda za dini. Hakuna kitendo ambacho ni spiritual in nature zaidi ya sex. Hasa sex ya kawaida man/ woman.Ni kitendo kinachoogopwa yet kinapendwa kuliko vitendo vingine vyote. Hapa siongelei kula na kunywa. Ni tendo takatifu prima facie.
 

Tueleze yakwako yakweli basi. Maana huku watu wanaleta na ushahidi kabisa
 

Hebu funguka mkuu, kitendo hicho kinaogopwa kivipi?
 
Naungana na wachangiaji wengi haswa mkuu Apollo kuwa sex is a source of body imbalance. Ukitaka kuwa na nguvu kubwa kiroho na hata kimwili na kiakili pia epuka utowaji wa mbegu za kiume mara kwa mara. Sex ni muungano wa kiroho na unayefanya nae mapenzi, but the question we should ask ourselves now is; How many spiritual connections have we attained because of sex? Na hao ambao wataconfess kwamba wameshafanya mapenzi na watu zaidi ya 100 up to now, mbona wengine hawapati balaa yoyote zaidi ya maisha yao kunyooka tu? Does that means waliokutana nao ni only good and positive spirits tu?
I better bet if am wrong...
 
Excellent.
 
Apollo njoo huku, majibu yako ni muhimu
 
Apollo njoo huku, majibu yako ni muhimu
 

Sababu sio kupata balaa mkuu japo hata hiyo ya mambo kunyooka pia inatokea. Ila sababu kuu ni kulinda ile nguvu yako. Hivyo kama unataka kufanya maswala yako ya kiroho kwa ufanisi basi upunguze hilo swala. Nimekujibu kwa jinsi nilivyowaelewa wachangiaji
 

Umechambua vizuri sana hapo kwenye tone moja la mbegu kuwa sawa na matone 40 ya damu.

Lakini ninachojua ni kuwa nguvu hii iliyoko kwenye kutengeneza mbegu mpya za kiume isipoelekezwa kwa umakini katika mambo ya kiroho na mambo ya kuijenga nafsi hupelekea kurudi katika mwili na kuwa na negative impact zaidi ya nguvu ya kwanza.

Kwamba, si kila mtu anaye abstain kufanya sex au kutoa mbegu zake huwa anapata mafanikio ya kiroho au kinafsi kwa sababu ya nguvu hio, wapo wengi tu ambao nguvu hio hurudi kuuharibu mwili na hata nafsi kwa kutibua emotions na free will kitu kinachomfanya mtu awe "mnyama zaidi" kuliko kuwa "binadamu zaidi" na jambo hili ni scientifically and spiritually proven.

Zipo njia nyingi sana za ku divert nguvu hii iwe ya kiroho au itumike kuijenga nafsi lakini kuu 4 ni KUFUNGA, KUFANYA MEDITATION na VISUALIZATION na MAOMBI.

Ndio maana mtu asiye fanya miongoni mwa hayo nguvu hii humpelekea kua mtu wa kuwaka tamaa za ngono muda wote au mtu wa aibu sana au hasira sana au mtu wa kujitenga na watu na upweke na mambo yote machafu unayoyajua.
 
Kibiblia iko wazi sana kuwa anayefanya zinaa na kahaba ni mwili mmoja na kahaba yaani ameunganishwa naye.

Na nimeshuhudia mara kibao watu wakifunga na kuomba kuvunja hizi bond na wanawake wote wanaowakumbuka waliokwisha shiriki nao hili tendo na hawa jamaa wanasema mambo yao huwa nayawanyookea sana baada ya hilo zoezi.

So spiritually na practically ninakubali kuwa kuna bond inaundwa mtu unapofanya zinaa na mtu mwingine
 
Nafikiri mkuu inabidi ufafanue kwa umakini upana sana athari za punyeto kiroho kwa kuzingatia hili ulilolisema hapa.
Nafikiri wengi humu almost 50% ni wahanga wa punyeto na wangependa kufahamu athari yake kiroho pia, na namna gani wachawi wanaitumia hii advantage
 
mada nzuri ila ni wachache tu watakao kuelewa#

Ni kweli kabisa ni ngumu kueleweka kirahisi, ila ukweli ni kuwa unapo-sex na mtu unajenga bond kimwili, kiroho na pengine kifikra pia!
 

Punyeto nimeiwekea tahadhari kwa kuwa 90% ya wapiga pull huwa hawawezi tena hata kujiwekea ratiba japo hata kwa week mara moja.
Wao huwa kama sio asubuhi na usiku, basi itakuwa ni kwa siku mara moja ambayo haitakiwi kabisa.
Madhara yake ni makubwa sana kuanzia kimwili na kiroho pia.

Madhara ya kiroho ni kama wewe kuwa wa bahati mbaya kila siku na kama utafanya tahajud/meditation itakuchukua muda mrefu kuona matokeo kama sio kushindwa kabisa.

Madhara ya kimwili ni wewe mwenyewe kukosa kujiamini, kusahau sahau hovyo.
Mfano kukumbuka kitu kwa wakati uleule kinapohitajika unakuwa ni mdogo, kujidharau mwenyewe/kutokujipenda, macho nayo saa nyingine huwa yanauma, kukondeana, kama hutumii madawa ya kulevya au pombe utakuwa unajitenga na watu.
Kuwa na uchovu muda wote, kuwa na aibuaibu sana mbele za watu nk:

Madhara haya si kwa mpiga punyeto tu.
Hata kama wewe unalala kimwili na mtu kwa siku mara 2 au zaidi kila siku madhara yake ni kama hayo hapo juu.
Haya mambo niliyapitia nikiwa sijui na baada ya kujua pia nikayafanyia tena uchunguzi.

Kama wewe utakuwa unafanya huu mchezo kila siku mara 2 au zaidi, utakuwa ni shahidi. Hata kama unafanya kila siku mara 1 utakuwa shahidi pia japo utakuwa hujaathirika kama wale wa mara 2 kwa siku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…