Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
[h=1]Kwa nini watu wanacheat?[/h]Pasco tunakusubili hapa jamvini.
[h=3]Psychic Powers: Ni Nguvu za Kufanya Miujiza.Prety, ni mambo tuu ya kubadili mboga. Angalau wenzetu damu baridi (ngozi) nyeupe wanaweza kuridhika na mboga ile ile mwanzo mwisho. Sisi damu moto, wanataka ugali moto mchuzi moto kila siku, kitu ambacho avarage woman hawezi.
Pia uncomplete sexual union ni sababu pia. Mahusiano ya mapenzi ya kisasa yako tuu superficial. Watu wanafanya sex kutimiza matwakwa ya miili for physical satisfaction not for true love gratisfaction. Matokeo yake hata kama mnafika (orgasm), but no spiritual union.
Wapenzi wakifikia stage ya 'spiritual union', love making inakuwa ni ecstacy na multiple orgasm. Morals zinakuwa controlled na subconcious mind, hivyo yoyote hawezi kwenda nje. Yaani hata kufikiri hawezi at the same time, mwili unaingia kwenye sense of belonging to one another, hata mwingine akuvulie na kukupanulia, there will be no reaction.
Hizo ndizo stage unawaona vibabu na vibibi vimeshikana mikono for real love kama mapenzi wameanza jana.
Ngozi nyeusi ukibahatika kufikia stage hiyo utasikia 'kashikwa', 'katulizwa', 'katengenezwa', 'kalishwa limbwata' etc.
Namna nzuri ya kuatain spiritual union inapatikana katika kitabu cha 'Kama Sutra' cha Kihindu. Pia Dr. Eustace Chasser amejitahidi kueleza kwenye kitabu chake cha 'Love Without Fear'.
Hakika wewe ni nguli, wacha leo nikeshe na hizi links.
kuna grl frnd wang nlitafuta sababu ya kumuacha bila kufanikiwa.7bu ilkua ivi kila jambo linalotokea katika familia yake haipiti wiki linatokea kwe2 nmambo flani yasio elezeka bt kwa uzi huu napata kitu kpya?kuna kpind mdogo wake alipotea bila kufankiwa mpata haikupta mda mdogo ang akapotea.mdogo wake alpofark namii upande wan dogo akaanza ugua saaaana apa ndo 7bu ya kustisha sex nae....nmegundua ki2 tang yankute cjawah taman na kupata hisia tena ya sex WAKUU JIFUNZENI KI2 LEO. m nsha prove vyote vilivyo ongelewa na Apollo.
_pole sana mkuu ,
kwa hiyo na mdogo wako alivuta au?
kuna grl frnd wang nlitafuta sababu ya kumuacha bila kufanikiwa.7bu ilkua ivi kila jambo linalotokea katika familia yake haipiti wiki linatokea kwe2 nmambo flani yasio elezeka bt kwa uzi huu napata kitu kpya?kuna kpind mdogo wake alipotea bila kufankiwa mpata haikupta mda mdogo ang akapotea.mdogo wake alpofark namii upande wan dogo akaanza ugua saaaana apa ndo 7bu ya kustisha sex nae....nmegundua ki2 tang yankute cjawah taman na kupata hisia tena ya sex WAKUU JIFUNZENI KI2 LEO. m nsha prove vyote vilivyo ongelewa na Apollo.
hii mada bado ina utata sana kwani sio kwamba ina uhakika kwa asimia kubwa. Hapana nayo ina utata wake kwani sex ni tendo ambalo mwanadamu mpaka leo anajaribu kujiuliza lengo lake ni nini.
Kwa watu wanaoamini occult wanaamini kuwa sex ni gate of eden. Wanaamini kuwa sex ni muunganiko wa mwanadamu yaani mwanamke na mwanaume. Pia wanaamini sex ni uumbaji kwani hupelekea uumbaji wa maisha mapya ya mtoto. Occult wamefika mbali kwa kufundisha kuwa orgasm ni tofauti na sex. Orgasm ni hisia inayopatikana katika sex. Wanaoccult wamegawanyika hapa.
- kuna wanaoamini sex ndio msingi mkuu
- kuna wanaoamini orgasm ndio msingi mkuu na sex sio lazima.
kwani orgasm wanaamini inaamsha energy ya kujitambua mwilini.
Lakini mimi baada ya kujifunza sana, nimekuja kukataa kabisa kuwa sex ni muhimu katika kujitambua. No sex sio muhimu kwani wanadamu wengi waliokuja kujitambua waliwahi kujitenga na mahusiano na mwanamke kwa kipindi fulani au katika maisha yao yote. Hii ni uthibitisho kuwa sex sio gate to soul bali kuachana na desires ndio gates to soul. Sex ni njia ya kuweka uhai mpya kwa kuleta uhai tena kwenye hali ya uanadamu lakini pia sex ni kifungo ambacho mwanadamu anajifunga ili asijitambue. Ni kama ni njia ya pekee katika kuleta uhai lakini pia ni njia ya kukupoteza pia. Mfano mzuri na wanafunzi wa yesu waliacha kuendelea na mahusiano na wake zao na kushikilia imani kwa kujitambua. Lengo kuu ni kujitambua kwani unapoishi maisha yasiyo na tamaa, desires, lust na ujinga unaongeza kujitambua na nguvu ya kiimani. Pia sex inapelekea utokwaji wa mbegu za mwanadamu. Wanadamu wengi wanafurahia sex na wanaamini kuwa ni raha lakini hawajui kuwa uwezo wa tone moja la mbegu inayotoka ni sawa na matone 40 ya damu. Kwa maana kuwa mbegu ni aina ya majimaji ya mwili ambayo dhamani kubwa ya uhai imewekwa. Mtu anapotoa mbegu kila saa anapelekea mwili wake kulazimika kujinyima na kutengeneza mbegu kwanza lakini mtu asiyetoa mbegu zake mara kwa mara ile nguvu ya mwili kutengeneza mbegu inapungua na mwili unatengeneza nguvu ya kiroho, kimwili na kiakili. Na hata utafiti wa sasa unasema kuwa mbegu zisipotumika mwili unaziwekeza katika maendeleo mengine ya mwili. Hata ukitaka kujaribu kaa bila sex kwa muda mrefu na siku ukiingia kwenye sex unahisi mchovu na emotional imbalance.
Cha msingi ni kujitambua. Sex sio kitu cha kusema kitumike kuzidisha, na kwa ambao hawana muda na sex au wanadhiri nao wapo sawa kabisa.
Baada ya huu uzi nilifatilia google kujua zaidi, nikakuta hivi...
Sex inaweza ikafunga au kufungua roho yako, ila itategemea na mtu uliyesex nae...
walimaanisha kuwa kama atakuwa na vibration kubwa au ndogo katika spirt yake ataku affect na wewe pia, kwa maana kwamba inaweza kuwa baraka au mikosi.
Na pia walionyesha njia/style za kusex ambazo hutumika kuchukua baraka/nyota/kipawa cha mtu ambaye unaona ni star au ana baraka.
USHAURI: Kwa wale mnaopenda kuangalia pornography/picha za ngono inabidi muwe makini kwa sababu kuna style ambazo utaiga zitaweza kufanya unae sex nae kumpa baraka au mikosi yako au yeye kukupa baraka au mikosi pia (kwa kujua au kutokujua) kwa baadhi ya watu wanaojua vitu hivi hutumia sex kama njia ya kuondoa mikosi yao na kubeba baraka za wengine... hayo ni maoni yao.
Mkitaka/Mkiwa tayari nitawaletea hizo style walizosema.
Mkuu tupe style hizo basi. Tujifunze tu lakini usituelewe vibaya😀😀
Mkuu tupe style hizo basi. Tujifunze tu lakini usituelewe vibaya
Sex bahati mbaya au nzuri hufanywa ndani ya nafsi, na mtu akiwa ana connection na nafsi nyingi, atakuwa anachafua nguvu za ndani na roho wa MUNGU atahama huo mwiliHili la kuaacha ili ufanye mambo yako kiroho kwa ufanis ni ukwel mtu...kuna kaka mmoja Mungu alimpa kipaji cha kutibu na kutoa mapepo kipind hicho alikuwa na umr kama miaka 19_20 na alikuwa mtumish kanisan kiukwel watu walikuwa wanaenda kwake kutoka sehem mbal mbal na wanapona kabisa, matatizo yao ila huwez amin huyo kaka alikuja kuwa na mwanamke kile kipawa chake chote kikaondoka na sasa ni mtu wa kawaida kabisa ule uwezo wa kiroho hana tena.
Usifanye kitu usicho kijua Mzee, unaweza jikuta upo ktk connection za ovyo sana za rohoni. Na incase ukiwa hufahamu haya mayoga n. K ni imani kabisa, sio funny games. Jambo lolote linalohusisha ishu za mind na roho, jua kuna SOURCE KUBWA YA HIZO POWERYoga ni mkao wa vp mkuu