Sex huweza kutumika kama njia kufikia roho yako (sex is a gate way to your soul)

Sex huweza kutumika kama njia kufikia roho yako (sex is a gate way to your soul)

Umeandika vizuri ila kuna tofauti kati ya roho nafsi na mwili. Zinaa ina affect nafsi. Ndyo maana Neno la Mungu linasema aziniye na mwanamke hana akili kabisa kwasababu anafanya jambo lakuangamiza nafsi yake. Ndani ya nafsi kuna akili, hisia, hiari na kile moyo wako unachotamani. Hivyo nafsi yako ikiharibiwa au kuchafuka kwa sababu ya zinaa utajikuta ukifanya mahamuzi yako mengi kinyume na vile ulivyotamani yawe, In short utakosa control ya akili, hisia, hiari na matamanio ya moyo wako, That's why unakuta mtu mfano akikumbuka sex hata kama yuko kazini anajikuta akitamani hata afanye akiwa maeneo ambayo ni very risky. Hii ni kwasababu anashindwa kujizuia. Ni hayo tu!
 
Kwa mfano me napenda kujichua ninapomkosa demu wangu kwa wiki naweza jichua mara 2 au 3 je hii itaniathiri afya mana ss hv naona nikijichua spam haziruki km zamani znaishia kudondoka kwa kiasi kidogo tu yaan matone wakat zamani zilikuwa znatoka km mkojo kwa kuruka nikaachaga kunyeto na kudo km miezi miwiri hv araf nkajakudo na gero wngu nkapiz nje lkn hari hile hile znatoka kwa vitone tu lkn nguvu uwezo wa kulimudu tendo na mengi yapo vile vile sana sana vimeongezeka na nafulahia km kawaida je hii inasababishwa na hyo kitu mnayosema khs nyeto au demu wangu ndo hao majitu machafu yanakuachia roho chafu au nyeto imenihathili ama
Nb ktk life yngu nimeshilikiana na wanawake wawili tu ktk kipindi cha miaka 10 tngu nibalehe na nyeto niliianza baada ya kuachana na gero wangu wq kwanza hv sasa ni 6 yrs tngu nianze mchezo wa kunyeto
Mwisho je nifanye nini ili spam ziweze kuruka na kutoka kwa wingi natalaji kuingi ktk ndoa nipate mtoto nimesikia wengi wanasema km huwezi kurusha spam huwezi kutungisha mimba
Au pngne huyu demu ndo chanzo

Km nimetoka nje ya mada nisameheni natalaji nyinyi wenzangu mtanipa ushauli akhsnte

Pole sana Mr kitabakilo
Hizo haziruki tena sababu kila zikitengenezwa unazikamua zinabaki kidogo kwa matumizi mengine ya mwili alafu unazikamua tena.
Ila kwa hapo ulipoacha kwa miezi miwili na hali ikawa ni ileile sijui kwakweli, labda lishe ndio ilikuwa mbaya.
Na kama ukilala na mtu ambae hamuendani ile mikosi huwa haidumu. Inakuwa ni ya muda tu hasa zile siku tatu tuu zikishaisha mambo yanakua kawaida
Labda kama mnaendelea na uhusiano wenu ndio mambo yanakua mabaya kila siku.

Wewe kula vizuri hasa hasa vyakula vyenye protein kwa wingi na maji tu utashangaa mwenyewe jinsi utakavyorusha risasi
Urushaji wa sperm na mimba ni vitu viwili tofauti wala hata haihusiani. Mbegu zikiwa hai na mwanamke akawa hana tatizo mimba lazima ishike.
Cha muhimu sasa jitahidi uache huu mchezo tu maana unaathiri hadi magoti kwa kiasi kikubwa... Ngoja na wengine walete mchango wao.
 
Last edited by a moderator:
Umeandika vizuri ila kuna tofauti kati ya roho nafsi na mwili. Zinaa ina affect nafsi. Ndyo maana Neno la Mungu linasema aziniye na mwanamke hana akili kabisa kwasababu anafanya jambo lakuangamiza nafsi yake. Ndani ya nafsi kuna akili, hisia, hiari na kile moyo wako unachotamani. Hivyo nafsi yako ikiharibiwa au kuchafuka kwa sababu ya zinaa utajikuta ukifanya mahamuzi yako mengi kinyume na vile ulivyotamani yawe, In short utakosa control ya akili, hisia, hiari na matamanio ya moyo wako, That's why unakuta mtu mfano akikumbuka sex hata kama yuko kazini anajikuta akitamani hata afanye akiwa maeneo ambayo ni very risky. Hii ni kwasababu anashindwa kujizuia. Ni hayo tu!

Unakuta hana control na mwili wake tena
 
Shukrami kwa ushauri
Je Una maanisha haya magoti ya miguu au maana wkt mwngne nikiwa ktk hzo halakati zngu kitandana mana ili nipate stimu ya kufanya h?i lzma nicheck porn movie ss nikiwa na lptop kitandani nachek hvyo vitu huki nikijiandaa magoti kuja chini kuelelea kwenye vifundo vya miguu hiwa vinauma sana tena wakati mwingne hta km nikilala kawaida yaan nikiwa cfanyi hayo mambo mpk hufikia kulala miguu juu kichwa chini yaan mwili sakafuni miguu kitandani kidogo ndo usingizi unakuja au nikiwa nachek hzo porn mpk nimalize kupiz ndo hupoa kidogo je yte hayo ndo madhala ya hii kitu hadi ukasema magoti huuma au

Magoti yanahitaji sana nishati inayozalishwa na hizo mbegu kwa kiwango kikubwa ndio maana maeneo ya kwanza kuathirika ni magoti, macho na mengine mengi.

Ni kama grisi kwenye kiungo chochote cha chombo cha usafiri, kama ikikosekana ndio mwanzo wa chombo kufa.
Magoti yanauma kama vile ni ule ugonjwa wa baridi.
 
Jamani mm nimenua kufunguka ili nipate msaada ndo mana naeleza kwa undani zaidi maana mficha maladhi kifo humuumbua sasa km kuna nawakwaza kwa maelezo yngu mnisamee sana

Hata mimi kama ningeficha huu mchezo hadi leo sijui ningekuwaje.
Humu wapo wanaoogopa kufunguka japo wanateswa na hili jambo. Mfano huyo mwalimu aliyenifundisha hadi nikatoka humo, alimfundisha mwingine ambae alikuwa ameathirika na punyeto mpaka kufikia kutoona tena vizuri.
Hospital anaenda akipimwa hamna ugonjwa anapewa tu madawa na hayamsaidii badala yake anaumwa na macho tu.
Alipopewa maelekezo jinsi ya kuishi na akatekeleza sasa ni mzima na anaona vizuri kabisa
 
Ni kweli sex inaharibu hata muonekano wako endapo ukizidisha, maana inanitokea sana.
Mimi nikizidisha sex labda mara 3 kwa week au 4, nakuwa na mikosi mikosi ya kila aina na pia watu wanakuwa hawanipendi kama siku zingine, pia nakifanya meditation sioni mabadiliko yoyote hadi nashangaa haya mambo yanakuwajekuwaje.

Hiyo mikosi ndio pale aliposeama Apollo mm kwa uwelewa Wang hiyo bond its depend inakuja kwa njia gani.unajua kivip no HIVunaweza ukawa na mafanikio kwa kuwa na mahusiano ya kimapenz na mtu a halafu usiwe na mafanikia na mMTU b
 
Last edited by a moderator:
Sawa ila nmempm mkubwa aretasludovick anielekeze kwa huyo ticha wake ili nkapate dalsa na mm niache mana hvhv imekuwa ngumu sana kuacha ukizngatia naishi pk yngu hadi nineamua nioe lbda ntaacha mana nimeathrika sana na pia upande wa macho sioni vizuri sasa nkajua lbda shughuli zngu natumia muda mwingi na pc kumbe ni hili swala aisee

Namshukulu sana mkubwa ludovick na wengne wote mlolieleza hi swara undani nimesoma coment zenu tngu mwanzo wa uzi zimenisaidia sana kujijua
Mbalikiwe kwa kushea elimu na sisi wajingq tusiojua tukifanyacho

Pamoja na yote mkuu wewe mwenyewe unapaswa kuamua kwa dhati kuacha, mana hata huyo mwalimu hatakupeleka rehab. Hivyo hatua ya kwanza ni wewe mwenyewe kukata shauri. Kitu kisicho na faida kwako cha nini? Anza kujikeep busy, mfanye google kuwa rafiki yako wa karibu. Kuna blog inaitwa Jitambue sasa hebu anza kuwa unaipitia kila siku.
 
Pamoja na yote mkuu wewe mwenyewe unapaswa kuamua kwa dhati kuacha, mana hata huyo mwalimu hatakupeleka rehab. Hivyo hatua ya kwanza ni wewe mwenyewe kukata shauri. Kitu kisicho na faida kwako cha nini? Anza kujikeep busy, mfanye google kuwa rafiki yako wa karibu. Kuna blog inaitwa Jitambue hebu anza kuwa unaipitia kila siku.

Mpaka hapo ameshajitahidi kuacha lakini akashindwa.
Mimi pia nilipogundua kuwa matatizo mengi niliyokuwa nayo chanzo chake ni huu mchezo, nilijilaumu sana na kujiwekea ahadi ya kuacha.
Chaajabu nikashindwa kabisa ikawa ndio nimezidisha, nikajiona sina thamani tena kwenye dunia hii
Ndipo nilipokutana na jamaa ambae anafaham haya mambo ya kisaikolojia akanisaidia kwa kiwango kikubwa pia nikaanza kupitia blog ya Apollo ya Jitambue sasa.
Kwanza nikakuta maelezo kule ya jinsi ya kutawala mawazo yako, kufanya meditation nk na hapo ndio nikaweza kuacha kabisa.

Kama ukila vizuri na ukaacha huu mchezo ndani ya week moja tu unaona matokeo mazuri
 
Sikuwahi kufikiria kuwa ni ngumu kuacha kiasi hicho labda kwavile sikuwahi kuwa addicted. Basi kwavile ameamua ataweza
 
Last edited by a moderator:
Sikuwahi kufikiria kuwa ni ngumu kuacha kiasi hicho labda kwavile sikuwahi kuwa addicted. Basi kwavile ameamua ataweza

Usilolijua ni sawa na usiku wa giza.
Chunga sana usije kuingia kwenye mtego huu maana kuna hata waliooa/kuolewa bado wanaufanya sana tu.
 
Nimeanza kale kaswala ka meditation nimejalibu muda si mwingi nimeona mwili umekuwa tofauti mpk sasa unatetemeka tetemeka ila nkitoka ofisini nlifika home ntafanya ile ya kuhesabu namba ila hako kamshumaa cjauona au cjui ndo ule mwanga mweupe unaokuja araf unapotea then unahisi unataja kuinuka lkn huinuki araf unahisi baridi si baridi yan hari flan anamazing then km unapata nguvu kidogo yaan km umetoka kulala araf ukakogq je mwanzomwanzo ndo inakuwa hvyo

Fanya hiyo ya pumzi tu ndio nzuri kwa wewe unaeanza. Hiyo ya kuhesabu namba kinyumenyume ni ya kujizoesha kuwa na kumbukumbu,.
 
nimewapata vizuri sana wote mtoa mada na wachangiaji. ila naomba kuuliza nje ya mada kidogo. mimi nina mtu ambaye tupo kweny uhusiano (i hope she is future wife) ni mwaka sasa. toka nianze nae uhusiano mambo yangu yameenda vzuri kwa kiasi fulani. ila kuna jambo linanshangaza ikitokea siku tukikorofishana halafu aninunie mambo yangu hayaend kabisa (cfanikiwi). ila nkimfurahisha mambo yananinyookea sana. (hata yeye nlimuomba asiwe ananinunia, kwan nlimjuza hili). HII NAYO NI NINI WAKUU?
 
Na ukiendelea sana huo mchezo baadae sana utajiskia kufanyiwa wewe badala ya kufanya.
Apo sasa....
 
Mkuu bona nimekuelewa vizuri sana nina maswali madogo 2
kwanza,umesema ku sex na watu wengi inapelekea kuungana nao kiroho yani sex italeta binadamu ambaye atapata roho nyingine sasa kama ume sex na mtu bt mtoto hakupatikana inakuwaje tena kuwe na bond?? Si inakuwa sawa na aliyepiga punyeto maana hamna sprit yyte iliyo waunganisha?
Pili,umesema roho tayari zipo ila zinahitaji miili tu ni kwa nini hizo roho zisibaki bila miili kuna ulazima gani? Maana at the end bado miili inakufa na kuiacha roho ni kama inarudi vilevile yaani bila miili
tatu,kwa mantiki hyo una manisha roho za watu ambazo zilikuwa zimepata miili badaye miili hyo kupote-kufa zinarudi tena duniani kwenye miili ya watu wengine au?
Nne,nini ultimate yake sasa? Kama roho zitakuwa zinajirudia rudia kwa watu?
Mada yako imenifikirisha kichwa!

nashukuru na nimefurahi kama umenielewa.. ntakujibu maswali yako.

kwenye swali lako i/
ni kile kitendo tu cha sex ndo tunachokiangalia... sex tu kama sex hufungua niite gates za soul.. au path kwa ajili ya new spirit...kile ambacho kitapita endapo lengo lenu sio roho ya binadamu (lengo sio mtoto) ndio kinatakiwa kukufanya uepuke kujamiiana na kila mtu... mfano: umeshawai kusikia watu waliokamatwa makaburini /mochwari wakizini na maiti.. au cases kama hizo.. hii ni maiti.. ila mtu anazini nayo.. nini mana yake? anaungana na roho (ambayo ipo ndani ya ile maiti kwa muda) ili pamoja waingize spirit juu ya yule mhusika (rejea post yangu ya kwanza.. nilisema.. kunapokua na sex... kuna chance spirit itakayoingia kupitia nyie ikabaki ndani ya mmoja wenu). hii ndio sababu basi.. katika kila jamii na dini duniani kuna utaratibu maalum wa kuunganisha watu wawili kwenye ndoa..utaamua wewe kuita baraka, dua etc ila kinachofanyika ni kuwaombea ili kila wanapokutana kimwili wawe salama.

ii/ swali zuri.. nimefurahi.. ni topic nyingine ila ntakujibu kwa kifupi. ndugu inabidi ufahamu.. kila roho iliyopo.. na iliyokuepo na itakayokuepo ina kazi /purpose /assignment... umeletwa kwenye hii sayari kwa ajili ya kazi flani.. ni muhimu kutambua umeletwa kwa ajili ya nini.. (its another topic kama nlivyokwambia).. (rejea bibilia mfano wa talanta) Yesu aliongelea hili suala ila kwa mfano wa talanta..now.kila siku unayo amka kitandani ni nafasi nyingine uliyonayo kufanya assignment... once ukiimaliza.. huna sababu ya kuendelea kubaki humu.. utaitwa..

iii/nadhani umeelewa sasa.. ni kwa jinsi hii hata Yesu alivyomaliza kazi yake aliondoka.. (kazi ambayo wengi hawajaielewa hasa)..kwa kukusaidia pia.. hakuna kazi yoyote/maagizo ambayo roho ilipewa ili yawe yanahusu mwili.. maagizo inayopewa roho ni kwa benefits za roho.. sio mwili..The higher power is a spirit.
 
Hapa wewe unaongelea kuhusu kulala na mtu kinyota ambayo ukikosea na ukajikuta umelala na mtu ambae nyota haziendani ndio utakiona cha moto 😀
Mada ni je? Tendo la ndoa laweza kumuwezesha mtu kufikia roho yake? Jibu ni hapana kwa sababu hukutenga mbali zaidi na roho yako endapo kama utaliendekeza sana.
Kwa lugha nyepesi ni kuwa zile mbegu za mwanadamu ni za muhimu sana kwenye mwili.... Ni kama antenna ya mwili kutafuta mawimbi ya kiroho.[/QUOTE

No Jimena yupo sahihi, maana kubwa ya kidogo ni tendo lenyewe na inamaana kwamba ukishiriki tendo na mtu mwenye nuksi inamaana umeshakuwa mwili mmoja na yule mwenye nuksi hivyo basi tegemea nuksi kwenye mambo yako, pia especially kwa wanaume huwa baadhi wanajitaidi kujiingiza kwenye uhusiano na Dada Fulani kwaajili yakutaka kuchukua ustawi Fulani kwahiyo Dada kwanjia ya sex inakuwa rahisi zaidi kwahiyo anaweza akatumia hata gharama kubwa ili kumpata lakini sio kwamba anaipenda laa nikwalengo la nnyota yake au ile ustawi wake, naakifanikiwa kusex nae huyo Dada ndio Kwisha habari yake anaanza kupoteza mwelekeo hata kuharibikiwa kabisa, wanaume 60% wapo hivyo huwa wanafata kitu kwa mwanamke na sio upendo kama wengi wanavyozania.
 
Baada ya huu uzi nilifatilia google kujua zaidi, nikakuta hivi...
Sex inaweza ikafunga au kufungua roho yako, ila itategemea na mtu uliyesex nae...
walimaanisha kuwa kama atakuwa na vibration kubwa au ndogo katika spirt yake ataku affect na wewe pia, kwa maana kwamba inaweza kuwa baraka au mikosi.
Na pia walionyesha njia/style za kusex ambazo hutumika kuchukua baraka/nyota/kipawa cha mtu ambaye unaona ni star au ana baraka.
USHAURI: Kwa wale mnaopenda kuangalia pornography/picha za ngono inabidi muwe makini kwa sababu kuna style ambazo utaiga zitaweza kufanya unae sex nae kumpa baraka au mikosi yako au yeye kukupa baraka au mikosi pia (kwa kujua au kutokujua) kwa baadhi ya watu wanaojua vitu hivi hutumia sex kama njia ya kuondoa mikosi yao na kubeba baraka za wengine... hayo ni maoni yao.
Mkitaka/Mkiwa tayari nitawaletea hizo style walizosema.
 
Sababu sio kupata balaa mkuu japo hata hiyo ya mambo kunyooka pia inatokea. Ila sababu kuu ni kulinda ile nguvu yako. Hivyo kama unataka kufanya maswala yako ya kiroho kwa ufanisi basi upunguze hilo swala. Nimekujibu kwa jinsi nilivyowaelewa wachangiaji

Hili la kuaacha ili ufanye mambo yako kiroho kwa ufanis ni ukwel mtu...kuna kaka mmoja Mungu alimpa kipaji cha kutibu na kutoa mapepo kipind hicho alikuwa na umr kama miaka 19_20 na alikuwa mtumish kanisan kiukwel watu walikuwa wanaenda kwake kutoka sehem mbal mbal na wanapona kabisa, matatizo yao ila huwez amin huyo kaka alikuja kuwa na mwanamke kile kipawa chake chote kikaondoka na sasa ni mtu wa kawaida kabisa ule uwezo wa kiroho hana tena.
 
Kaa mkao wa yoga, Kisha Anza kuvuta pumzi taratibu ndani nje, ndani nje toka tumboni. Akili yote toa kwenye mawazo weka umakini kwenye pumzi hadi ujisahau we mwenyewe. Hakikisha hakuna sauti hapo hata ya kunong'ona. Endelea hivyo, endelea kuweka fahamu zako kwenye pumzi yako kabisa, mawazo yakija usijishughulishe nayo kabisa, endelea kuhamishia akili yote kwenye pumzi hadi utafika mahali mawazo yote yatatoweka ndani yako. Endelea ktk hali hii kwa nusu saa.
Hapo utaanza kupokea nguvu inayotawala ulimwengu inayojulikana kama Cosmic energy.

Kwa msaada zaidi wakija walimu hawa Annael Apollo Pasco mshanajr Rakims watakuelekeza zaidi maana mimi bado nipo kwenye kujifunza tu bado.

Yoga ni mkao wa vp mkuu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom