Hapa wewe unaongelea kuhusu kulala na mtu kinyota ambayo ukikosea na ukajikuta umelala na mtu ambae nyota haziendani ndio utakiona cha moto 😀
Mada ni je? Tendo la ndoa laweza kumuwezesha mtu kufikia roho yake? Jibu ni hapana kwa sababu hukutenga mbali zaidi na roho yako endapo kama utaliendekeza sana.
Kwa lugha nyepesi ni kuwa zile mbegu za mwanadamu ni za muhimu sana kwenye mwili.... Ni kama antenna ya mwili kutafuta mawimbi ya kiroho.[/QUOTE
No Jimena yupo sahihi, maana kubwa ya kidogo ni tendo lenyewe na inamaana kwamba ukishiriki tendo na mtu mwenye nuksi inamaana umeshakuwa mwili mmoja na yule mwenye nuksi hivyo basi tegemea nuksi kwenye mambo yako, pia especially kwa wanaume huwa baadhi wanajitaidi kujiingiza kwenye uhusiano na Dada Fulani kwaajili yakutaka kuchukua ustawi Fulani kwahiyo Dada kwanjia ya sex inakuwa rahisi zaidi kwahiyo anaweza akatumia hata gharama kubwa ili kumpata lakini sio kwamba anaipenda laa nikwalengo la nnyota yake au ile ustawi wake, naakifanikiwa kusex nae huyo Dada ndio Kwisha habari yake anaanza kupoteza mwelekeo hata kuharibikiwa kabisa, wanaume 60% wapo hivyo huwa wanafata kitu kwa mwanamke na sio upendo kama wengi wanavyozania.
Baada ya huu uzi nilifatilia google kujua zaidi, nikakuta hivi...
Sex inaweza ikafunga au kufungua roho yako, ila itategemea na mtu uliyesex nae...
walimaanisha kuwa kama atakuwa na vibration kubwa au ndogo katika spirt yake ataku affect na wewe pia, kwa maana kwamba inaweza kuwa baraka au mikosi.
Na pia walionyesha njia/style za kusex ambazo hutumika kuchukua baraka/nyota/kipawa cha mtu ambaye unaona ni star au ana baraka.
USHAURI: Kwa wale mnaopenda kuangalia pornography/picha za ngono inabidi muwe makini kwa sababu kuna style ambazo utaiga zitaweza kufanya unae sex nae kumpa baraka au mikosi yako au yeye kukupa baraka au mikosi pia (kwa kujua au kutokujua) kwa baadhi ya watu wanaojua vitu hivi hutumia sex kama njia ya kuondoa mikosi yao na kubeba baraka za wengine... hayo ni maoni yao.
Mkitaka/Mkiwa tayari nitawaletea hizo style walizosema.