Sex huweza kutumika kama njia kufikia roho yako (sex is a gate way to your soul)

Sex huweza kutumika kama njia kufikia roho yako (sex is a gate way to your soul)

Nakubaliana na hilo asilimia zote. Kuna watu ukilala nao utajuta. Na kuna ambao ukilala nao mambo yanakuwa safi kabisa yani hata Issue ngumu zote zinafanyika kwa urahisi.

Hapa wewe unaongelea kuhusu kulala na mtu kinyota ambayo ukikosea na ukajikuta umelala na mtu ambae nyota haziendani ndio utakiona cha moto 😀
Mada ni je? Tendo la ndoa laweza kumuwezesha mtu kufikia roho yake? Jibu ni hapana kwa sababu hukutenga mbali zaidi na roho yako endapo kama utaliendekeza sana.
Kwa lugha nyepesi ni kuwa zile mbegu za mwanadamu ni za muhimu sana kwenye mwili.... Ni kama antenna ya mwili kutafuta mawimbi ya kiroho.
 
teh teeh teeeh eeeeh... .. . aretasludovick bwana, eeehe tupe mambo kaka,
 
Last edited by a moderator:
Hapa wewe unaongelea kuhusu kulala na mtu kinyota ambayo ukikosea na ukajikuta umelala na mtu ambae nyota haziendani ndio utakiona cha moto 😀
Mada ni je? Tendo la ndoa laweza kumuwezesha mtu kufikia roho yake? Jibu ni hapana kwa sababu hukutenga mbali zaidi na roho yako endapo kama utaliendekeza sana.
Kwa lugha nyepesi ni kuwa zile mbegu za mwanadamu ni za muhimu sana kwenye mwili.... Ni kama antenna ya mwili kutafuta mawimbi ya kiroho.

Asante kwa ufafanuzi mkuu, niliweka tasfida hapo nilitumia neno kulala nae ila nilimaanisha kufanya nae tendo.
Sasa unatakiwa ufanye walau mara ngapi kwa mwezi (nijaribu kupanga ratiba)
Cc Bennie 369
 
Last edited by a moderator:
Asante kwa ufafanuzi mkuu, niliweka tasfida hapo nilitumia neno kulala nae ila nilimaanisha kufanya nae tendo.
Sasa unatakiwa ufanye walau mara ngapi kwa mwezi (nijaribu kupanga ratiba)
Cc Bennie 369

Walimu wa kiroho wanakwambia jitenge na hilo tendo kwa muda wa masaa 72 kabla ya kufanya mazoezi yoyote ya kiroho.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu ukipiga selfie nyota zinakuwa hazijaendana na nani? Au yule unayekuwa unamuwaza 😀😀😀😀

Hapa mada zimechanywa mbili tayari.
Lakini kwa swali lako ukipitia hii comment ya Apollo utaelewa 👇
Hii mada bado ina utata sana kwani sio kwamba ina uhakika kwa asimia kubwa. Hapana nayo ina utata wake kwani Sex ni tendo ambalo mwanadamu mpaka leo anajaribu kujiuliza lengo lake ni nini.

Kwa watu wanaoamini Occult wanaamini kuwa Sex ni gate of eden. Wanaamini kuwa Sex ni muunganiko wa mwanadamu yaani mwanamke na mwanaume. Pia wanaamini Sex ni uumbaji kwani hupelekea uumbaji wa maisha mapya ya mtoto. Occult wamefika mbali kwa kufundisha kuwa Orgasm ni tofauti na sex. Orgasm ni hisia inayopatikana katika sex. WanaOccult wamegawanyika hapa.

* Kuna wanaoamini Sex ndio msingi mkuu
* Kuna wanaoamini Orgasm ndio msingi mkuu na sex sio lazima.

Kwani Orgasm wanaamini inaamsha energy ya kujitambua mwilini.

Lakini mimi baada ya kujifunza sana, nimekuja kukataa kabisa kuwa Sex ni muhimu katika kujitambua. No Sex sio muhimu kwani wanadamu wengi waliokuja kujitambua waliwahi kujitenga na mahusiano na mwanamke kwa kipindi fulani au katika maisha yao yote. Hii ni uthibitisho kuwa sex sio gate to soul bali kuachana na desires ndio gates to soul. Sex ni njia ya kuweka uhai mpya kwa kuleta uhai tena kwenye hali ya uanadamu lakini pia sex ni kifungo ambacho mwanadamu anajifunga ili asijitambue. Ni kama ni njia ya pekee katika kuleta uhai lakini pia ni njia ya kukupoteza pia. Mfano mzuri na wanafunzi wa Yesu waliacha kuendelea na mahusiano na wake zao na kushikilia imani kwa kujitambua. Lengo kuu ni kujitambua kwani unapoishi maisha yasiyo na tamaa, desires, lust na ujinga unaongeza kujitambua na nguvu ya kiimani. Pia sex inapelekea utokwaji wa mbegu za mwanadamu. Wanadamu wengi wanafurahia sex na wanaamini kuwa ni raha lakini hawajui kuwa uwezo wa tone moja la mbegu inayotoka ni sawa na matone 40 ya damu. Kwa maana kuwa mbegu ni aina ya majimaji ya mwili ambayo dhamani kubwa ya uhai imewekwa. Mtu anapotoa mbegu kila saa anapelekea mwili wake kulazimika kujinyima na kutengeneza mbegu kwanza lakini mtu asiyetoa mbegu zake mara kwa mara ile nguvu ya mwili kutengeneza mbegu inapungua na mwili unatengeneza nguvu ya kiroho, kimwili na kiakili. Na hata utafiti wa sasa unasema kuwa mbegu zisipotumika mwili unaziwekeza katika maendeleo mengine ya mwili. Hata ukitaka kujaribu kaa bila sex kwa muda mrefu na siku ukiingia kwenye sex unahisi mchovu na emotional imbalance.

Cha msingi ni kujitambua. Sex sio kitu cha kusema kitumike kuzidisha, na kwa ambao hawana muda na sex au wanadhiri nao wapo sawa kabisa.
 
Kwenye swala hili wale wa jinsia tofauti na yangu ndo wanahusika zaidi. Sawa ujumbe umefika na wataacha mara moja

Hata nyie mpo mbona?

Unajua sababu ya huu mchezo kuwa mbaya na kumwathiri kila anayejaribu ni kutokana na mazoea.
Mtu anaejichua huwa anarudia hata mara 2 kwa siku ambayo ni hatari sana
Hata mwenye mke/mume ni vigumu kufanya hilo tendo mara 2 kwa siku
 
Ooh, kumbe
Hapo ni nyota tu zinakuwa haxijaendana.

Nilimuelewa Apolo ila ambacho sikuwa nimeelewa ni hiyo hapo 👆👆 kipengele hicho ndo nilihitaji ufafanuzi nahisi hata Bennie 369 nae hajaelewa kama mimi, au kama kakuelewa anaweza kunifafanulia kwa upeo wake
 
Last edited by a moderator:
Nakubaliana na we we ndugu kwa 98%. Na kuongeza kidogo ktk uumbaji bunadamu huanza na viungo vya uzazi hii INA maana take ktk athari za kiukuaji kwa viumbe. Spiritually pia tunaona kila siku watu wakishikamana ktk ndoa zao na maisha hunyooka vzr ila wakianza kusuguana ktk relationship yao hats hiyo sex huwa haina ladha tena Bali ni kutimiza wajibu na athari take in separation of those natural spirit(star) to cooperate matokeo take ni kushuka kimaisha sababu hizi spirit nyingi they normally work when man and woman cooperated by means of marriage or a sexual relationship in a trust way.
 
Nilimuelewa Apolo ila ambacho sikuwa nimeelewa ni hiyo hapo 👆👆 kipengele hicho ndo nilihitaji ufafanuzi nahisi hata Bennie 369 nae hajaelewa kama mimi, au kama kakuelewa anaweza kunifafanulia kwa upeo wake

Hili ni somo lingine refu sana.
 
Last edited by a moderator:
Ni kweli sex inaharibu hata muonekano wako endapo ukizidisha, maana inanitokea sana.
Mimi nikizidisha sex labda mara 3 kwa week au 4, nakuwa na mikosi mikosi ya kila aina na pia watu wanakuwa hawanipendi kama siku zingine, pia nakifanya meditation sioni mabadiliko yoyote hadi nashangaa haya mambo yanakuwajekuwaje.

In kweli hali hiyo inasababishwa na Hugo unaye sex nae au hao unaokutana nao wewe una nyota ambayi unataja usafi haipenfi uchafu ukioa mwanamke was nyota yako hiyo hali itaondoka na ndiyo hiyo soul connection inayoongelewa na mtoa mada ingawa hakubezi sana ktk hili nalokupatua
 
Back
Top Bottom