Ndahani kirusha roho sio kweli, acha kunikosesha mchumba hali wewe usha nikataa!
usiku kucha si mwishowe atachubuka mana hata ute utakauka sasa. tutafanya responsively teh teh
kongosho, ndio maana ukaapa katika shida na raha kungwi, hairuhusiwi ila watu wanaforge vyeti tu, kujipa kibali wenyewe, na asilani si kibali cha maanani!hivi, bila sex hakuna marriage???
What if spouse kapata maradhi, ruksa kucheat?
Erotica tufute mmoja ili wabaki 28 ..unasemaje?Saint Ivuga hakuna mtu anaruhusiwa kuchukua tunda langu. Nikiridhia unakula but unaliacha
hapo hapo. hata akisepa sio shida kwangu mana sidhani kama nitataka wa kutia kambi kama kaja tu kula.
afta al mie mlaji mzuri pia, ingawa kwa mtindo wa kumung'unya taratibu hadi point ya myeyusho.
nisha fikisha 29, ningekupa but ndio hivo tena wa 30 ni mume wa kuishi na kuzaa nae.
Bishanga tamaa hizo......................!Namuonea wivu atakayekuoa,maana.......
Mhhh...hayo maneno unayotumia hayana kilainishi,....watoto wakiyasoma macho yatapofuka. Halafu, Erotica mimi nikikukubali si ntakuwa nakuvurugia mipango yako ya baadae ya kuolewa na hatimaye kupata watoto....sio kila chakula ni ya kutest...ukinogewa?
Ndahani wewe ni kirusha roho changu, nisha kaa mikao ya mitego hadi basi,Haaahaaa... Erotica una mambo wewe! Ntaanzaje kukupenda sasa...hebu nipe hint maana mi mgeni kwenye mambo hayo.
Ndahani wewe ni kirusha roho changu, nisha kaa mikao ya mitego hadi basi,
nisha jishaua kwako na kujitongozesha hadi basi. kuna mambo huwezi kuya kontrol yawe vile utakavo.
haikuwa lazima unipende, mie malengo yalikuwa kigem zaidi toka pale nina list ya watu 25.
lakini bado ulinitolea nje na kunijengea adui FirstLady1 nikijua ni wako kumbe walaaah!
kwa yote hayo kama hadi sasa hunipendi, huwezi nipenda kamwe! sina hinti ya kukupa.
acha hioz nawe bwanaa....haiwezekani ukumbuke watu 29 at the same time lazima kuna wawili walikuwa na matendo yanayofanana tuwaunganishe ..unabana nini sasa ?Inakuwa ngumu, wote 29 nawakumbuka kwa mambo 29 tofauti. yani kazi kuwafuta kichwani,
ndio mana namba 30 inabidi awe mwenyewe hasa aweze futa hao wote akilini.
Ntakusaidiaje sasa Erotica kama hata hiyo hint nayo ni sirikali?
acha hioz nawe bwanaa....haiwezekani ukumbuke watu 29 at the same time lazima kuna wawili walikuwa na matendo yanayofanana tuwaunganishe ..unabana nini sasa ?
sio siri Ndahani, sina hinti. nahisi zote nimezitumia na zime bounce! tukubaliane tu na
ukweli am not ur type na sikuvutii. nashangaa hukunipa hata nafasi ya
kubanjuka ili ujue kama ni type yako ama vipi. enways ndio hivo tena wacha tu nikazane kumtafuta
mume, uwe tu mshauri wangu wa kupata ambae atakuw faithful kwangu kama wewe kwa wifey wako.