SEX in marriage. Kipi ni kipi?

SEX in marriage. Kipi ni kipi?

Kila ndoa ina style yake...yangu na sweetlady ipo steady sana...
Ukiopoa garasa...pole zako...

Sent from my BlackBerry 9930 using JamiiForums

Tehe.......kila siku najivunia kuwa na wewe...... Erotica nione baadae nikupe siri ya mafanikio yetu lol.
 
Last edited by a moderator:
hahahaha Erotica una vituko sana..
Ngoja kwanza nicheki kisha nirudi kutoa mapwenti yangu..
 
Last edited by a moderator:
hahaha ni kwa sababu tu wewe umegoma kuwa mkweli Ndahani .
Hivi ni kitu gani umefanya kinamtesa Erotica namna hii......
Mariah Carey.... Love Takes Time Lyrics

Mbona nimekuwa mkweli sana kwake FirstLady1...nimemwambia Erotica anipe hint ya namna gani mtu huwa anapendwa tena online, na hajafanya hivyo.
Sijui aliziona six packs zangu kule mjimwema beach na akasikia jina langu? Hata sielewi inakuwaje...ila nashukuru umemuimbia huo wimbo....lakini hata hivyo naogopa kuwa no 30...ni list ndefu sana hiyo ukiwa kwenye mid 20's.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom