SEX in marriage. Kipi ni kipi?

Hmana kipya zaidi ya ku top up from what you have or experience...!
 
-miezi minne ya kwanza mnaogeshana kwa maji ya hiliki na pilipili manga halaf mnasex kila siku mara 2 na mnafika vileleni nyote.

-baada ya miaka miwili mnasex kwenye matukio ya furaha tu, labda mmoja kaongezewa mshahara n.k na sex yenyewe inaisha ndani ya dakika nne including foreplay (hapa nimeongea kisayansi zaidi)

- Baada ya miaka 4 (kama mtafika), mnasex kwa kufukuzana kama panya, halaf wakati mnasex kila mmoja anamtolea macho mwenziwe kama tuko kwenye vita vya majimaji.

-Baada ya miaka 6 mke anaanza kungonoka ofisini na boss wake, na mume anangonoka gesti na JF memba walokutana MMU na Chit chat. (hapa mwenye bahati mbaya ndio anafumaniwa)

Nimemaliza

-
 
.....😀 hahahaha....raha ya bakuli aijua mlaji au? .....e bana penye njaa miiko huvunjwa....hata mie kuna mida 'sikumbuki' nililipakatia, nilikula upande upande, au chini juu....

Asante kwa ukumbusho soulmate. Will try it at home....😛
 
Shemeji mbona interval yako ni kubwa sana aisee.............wengine wanaanza kungonoka na mabosi wakiwa bado wachumba za watu, wanashindwa tu kukatili uchumba kwa kuwa bosi tayari ana familia na yeye possibility ya kuwa na ile heshma ya Mr au Mrs Flani itapotea.
 
Interval nimeiweka kubwa ili kumheshim Mungu walau kidogo shem. Lakini kiuhalisia hata wewe umeiweka kubwa. Sku hizi zile anniversary za ndoa watu tunafata keki ya bure tu.

Halaf hii signature inamaanisha nini shem? .. Ni Wewe...
 
Bishanga, mumewe anaweza kukimbia kwa kukosa usingizi...kila saa anadaiwa kufanya kazi. Akifika ofisini yuko hoi....grwaride lazima limshinde kwa binti huyu Erotica
Zipo dawa za kihaya akinywa atakuwa full gado 24/7....365 days.
 
Last edited by a moderator:

bonge la somo,mbu anafaidi jamani,i i wish ningekuwa mbu.
 
Amini amini nasema...klorokwin ni jinius,yaani hii analysis ni pafekt asilimia elfu moja.
Kula 'likes' salasini za ukweli.
 
Interval nimeiweka kubwa ili kumheshim Mungu walau kidogo shem. Lakini kiuhalisia hata wewe umeiweka kubwa. Sku hizi zile anniversary za ndoa watu tunafata keki ya bure tu.

Halaf hii signature inamaanisha nini shem? .. Ni Wewe...

Oh okay hapo imekuelewa............By the way Shem please ninaomba nigonge chumbani kwako (Kwa ruhsa ya Soulmate lakini).......... nina shida na wewe.

Signature ni kwa Yeye kuisoma Shem.................... Ni Yeye!
 
Gonga kama hautokuwa na kikao kirefu kwasababu nina kama dakika 15 tu za kubaki online. acha nikufukizie udi lol
 
Ijumaa Rose garden....kuna karibu kila mtu pale....huko kwingine watu wanakaaa kunywa weee na kuongea vingereza vingi. Cha mno unaweza kuambulia kuongeza namba kwenda 30.I mean hivyo viwanja vyenu vya saizi ya kati na juu...

kwa hiyo ina mana saizi uko tayari tuonane Ndahani?
 
Last edited by a moderator:
bonge la somo,mbu anafaidi jamani,i i wish ningekuwa mbu.

....😱??? ....baaas? ....umeona bakuli lasifiwa weye mimate ishakujaa mdomoni? Hujui gharama za kulitunza, wala kilichomo?

....haya basi, nawe jitwishe plasmodium uwasambaze kama waniona nafwaudu kukoswa koswa makofi na moshi wa X-pel...
 
Last edited by a moderator:
Nitatumia resources zote nilizonazo hili lisitokee, i will give my all.

Labda aende huko nisijue kabisa, maana mie sitaenda hata ikikatwa au kushonwa na cherehani.

Kongosho the way sex ilivo tamu ni kazi kweli ku imagine.

haya mambo ni pale ikitokea ukafaulu mtihani ndio wajinadi mda huo. ndio mana ukaitwa mtihani.
 
Last edited by a moderator:

umeniandikia herufi kubwa nimeelewa bila kupenda! teh teh teh. maneno kuntu haya nivea.
 
Last edited by a moderator:
....😱??? ....baaas? ....umeona bakuli lasifiwa weye mimate ishakujaa mdomoni? Hujui gharama za kulitunza, wala kilichomo?

....haya basi, nawe jitwishe plasmodium uwasambaze kama waniona nafwaudu kukoswa koswa makofi na moshi wa X-pel...

Sa na weye ndo nini kumtisha Cricial Man wa watu? Kwani umesahamu ukitaka utamu wa ngoma uimgie ucheze na utamu wa ngoma omo marejeo ngamani?

Mbona wanizibia Soulmate?
 
teh teh teh kisukari, sasa kama sio sex peke yake, kitu gani cha kutuunganisha as 1?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…