SEX in marriage. Kipi ni kipi?

Sa na weye ndo nini kumtisha Cricial Man wa watu? Kwani umesahamu ukitaka utamu wa ngoma uimgie ucheze na utamu wa ngoma omo marejeo ngamani?

Mbona wanizibia Soulmate?

.....aaa soulmate mimi nikuzibie ya nini umri huu? ushayasahau yale makubaliano yetu?

Critical Man, 'utamu wa ngoma,....!' Pitia mlango wa mbele, mie natokea wa uani....😛
 
.....e bana nyie.....

Siri ipo kwenye 'akili' tu. Once you are happy and comfortable na mtu wako, uta enjoy sana tu...siku, wiki, mwezi, mwaka hata miaka.

Chuki, kibri, dharau na 'kutojali' kukishaanza, hata m- reboot sijui restart mara ngapi, ...kuna mafaili kichwani yeshakuwa corrupted...which are..'undeleted!'

To be on the safe side, wekeni heshima, thamani, na furaha ya kweli...mta enjoy mapenzi yenu na hata sex life. Some of us are bored easily....
 
Neno kuntu hili baba!
BAK njoo uone kwa nini nilikujibu vile kwenye mambo ya female satisfaction!
Ngoja nikajiridhishe wikipedia maana ya 'social responsibility'
Huku kwenye ndoa SEX is a social responsibility! So worry not!
 
Last edited by a moderator:
Duh!Li siredi limeniacha mno,wacha niende tu!
 
Mzima Erotica? haujambo wewe na unayempenda? Mbona jana hukutokea kama ulivyosema?

Muitikio wako wa 'karibu' tena kwa upole, ulinipa electric shock ya veins.

bado naugulia kirusha roho, nikipoa nakuja bila hiyana.
 
Muitikio wako wa 'karibu' tena kwa upole, ulinipa electric shock ya veins.

bado naugulia kirusha roho, nikipoa nakuja bila hiyana.

Haaahaaa! Pole sana....electric shocks zilitokea wapi?
 
Kwa ufupi marriage is nothing. Not natural. Its man made based on social relations but sex is what is important there.
Ndoa ikiikosa basi kuna walakini hapo ama mvuto umekwisha au kuna uchakachuaji. Hivi viungo vya uzazi kwa maana ya KM na MB haviko pale kwa ajiri ya socialization (marriage) bali kwa matumizi na kuzaliana. Simpo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…