Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,746
rafiki MwanajamiiOne, hii imekaaje?Siyo mara moja moja mimi ni kama myama sex wakati wa kuzaa tu ukishapata mimba tutakutana next wakati wa kuzaa tena!
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
rafiki MwanajamiiOne, hii imekaaje?Siyo mara moja moja mimi ni kama myama sex wakati wa kuzaa tu ukishapata mimba tutakutana next wakati wa kuzaa tena!
rafiki MwanajamiiOne, hii imekaaje?
Sa na weye ndo nini kumtisha Cricial Man wa watu? Kwani umesahamu ukitaka utamu wa ngoma uimgie ucheze na utamu wa ngoma omo marejeo ngamani?
Mbona wanizibia Soulmate?
labda aseme na mumuwe ni kwa ajili ya kuzaa tu, otherwise sipati picha kila ninapocheza ule mchezo najua naanzisha kizaazaa, lol!HAPANA hii sio kweli unless mkataba wao ni wa kuzalishana tu na wanaishi mbali mbali. How comes?
assumption si nzuri....! ukweli ni kwamba what comes around is what goes around. Doggy lingekuwa ndo jibu!Hah aksante Paxman ............Suppose huyo alogundua kifo cha mende, angegundua Doggy kwanza ungesemaje?
Huku kwenye ndoa SEX is a social responsibility! So worry not!
Muitikio wako wa 'karibu' tena kwa upole, ulinipa electric shock ya veins.
bado naugulia kirusha roho, nikipoa nakuja bila hiyana.
naskia uko wanapeana kwa mwezi mara moja na mpk mume atake teh teh.....:A S-baby:
Fidel80 hiyo avatar haifai bana rudisha ile yetu ya kunywea mbege migombaniBado mnajadili style gani za ndoa?