Sex is no more an issue, know how to handle your man

Mbona hilo wanawake tulio wengi tunalijua?

Issue ni kwamba inategemea wewe ni mwanaume wa aina gani pia, ukiwa muhuni na mshenzi na sisi tunaenda na flow.

Ukiwa mstaarabu na unaonekana kabisa unafaa kuwa mume, vya ziada muhimu. Tunakuwa mpenzi, mshauri, mfariji, mshkaji na hata msaidizi.
Ni rahisi kumbadili mwanaume muhuni kuwa gentleman

Ila ngumu kumbadili mwanamke mhuni kuwa wife material.

Nyie wakuenda na flow ndio wale wale tu mbwa mwith katika ngozi ya kondoo.
 
Mbona hilo wanawake tulio wengi tunalijua?

Issue ni kwamba inategemea wewe ni mwanaume wa aina gani pia, ukiwa muhuni na mshenzi na sisi tunaenda na flow.

Ukiwa mstaarabu na unaonekana kabisa unafaa kuwa mume, vya ziada muhimu. Tunakuwa mpenzi, mshauri, mfariji, mshkaji na hata msaidizi.
Sio kweli kabisa point zako zote mbili ulizoziandika ni kinyume chake. Ukiwa bad boy ndio mwanamke anakuganda. Jichanganye ujifanye nice guy sasa uone akili za mwanamke zilivyo fyatu
 
Sasa Mkuu wewe ndio mwanamke au mimi?
Mimi ni mwanaume ulichoandika ni kinyume chake maana naona jinsi nice guys wanavyoteswa kwenye mahusiano yao ukilinganisha na bad boys. Mimi mwenyewe nilikua kundi la nice guys kabla wakina dada hawajanibadilisha, now am a monster himself.
 
Sasa mimi nimesema mtazamo wangu kama mwanamke, na namaanisha nilichokisema kwa kuwa nimekipitia.

Washenzi hawakudumu nami, mstaarabu ndio kaniteka sasa hivi hadi nampea treatments za mume kamili.
 
Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
 
Jitahidini kuwa wacha mungu haimalizi balaa ila inapunguza 70%
 
Back
Top Bottom