masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 17,576
- 20,183
ooh Girl🤣
0%najua ni katikati ya siku ya kazi ila naomba unijibu hili swali
binafsi naipa 60%
hiyo ingine ndo vitu vingine kutoka kwa partner
sababu:vitu vingine unaweza pata popote ila sex kama mjuavyo ni kwa mtu wako
so kama siipati kwa asilimia 60
naona si haki
na sitafurahishwa na hayo mapendo
sijazungumzia upendo ...tuelewane hapa
Naipa asilimia 365, na nisipo pata kwake naenda kutafuta kwa mwingine.najua ni katikati ya siku ya kazi ila naomba unijibu hili swali
binafsi naipa 60%
hiyo ingine ndo vitu vingine kutoka kwa partner
sababu:vitu vingine unaweza pata popote ila sex kama mjuavyo ni kwa mtu wako
so kama siipati kwa asilimia 60
naona si haki
na sitafurahishwa na hayo mapendo
sijazungumzia upendo ...tuelewane hapa
Towashi on 1&2.