Sex unaipa asilimia ngapi kwenye mahusiano yako?

Sex unaipa asilimia ngapi kwenye mahusiano yako?

najua ni katikati ya siku ya kazi ila naomba unijibu hili swali

binafsi naipa 60%
hiyo ingine ndo vitu vingine kutoka kwa partner
sababu:vitu vingine unaweza pata popote ila sex kama mjuavyo ni kwa mtu wako
so kama siipati kwa asilimia 60
naona si haki
na sitafurahishwa na hayo mapendo
sijazungumzia upendo ...tuelewane hapa
Uchovu wa Dodoma NBC marathon umeisha, sasa mmeanza kufanya flash backs.
 
najua ni katikati ya siku ya kazi ila naomba unijibu hili swali

binafsi naipa 60%
hiyo ingine ndo vitu vingine kutoka kwa partner
sababu:vitu vingine unaweza pata popote ila sex kama mjuavyo ni kwa mtu wako
so kama siipati kwa asilimia 60
naona si haki
na sitafurahishwa na hayo mapendo
sijazungumzia upendo ...tuelewane hapa
Hatarii sanaa ngoja niagize kitimoto hapa namalizia konyagiiii ndogo.

Ntarudii hapa nikishiba
 
Back
Top Bottom