0 siku nyingi nilijua kuwa wanaume ili wakuchukulie nyota lazima ulale nao.
Niliwezwa nilipoteza niliumizwa kisa dudu.
Mungu alimuumba mwanadamu akampa jinsia hiyo jinsia ni utambuzi wa utofauti kati ya mwanaume na mwanamke.
Alimpa mwanamke bikra ili atakayemuoa ammiliki.
Tulishatoa ubikra na aliyetoa alienda na mafungu yetu.
Na wale waliobakia walichukua kilichobakizwa .
Mwanamke hutoa asilimia nyingi pale anapofanya mapenzi anampa mwanaume wake urahisi wa kumtumia kimaslahi.
Unaweza kuchafuliwa ,kupotezwa,kuuliwa kisa nini epuka ngono zembee.
Niliachga 2017, nikarudia 2024 pale nilipopata kizaza,.
Sex sio kipaumbele kwa sasa.