SweetyCandy
JF-Expert Member
- Sep 17, 2022
- 5,474
- 10,518
Uongoo nimesema naona shida za watuUnakumbuka ule Uzi wa jini Arsis? Ulisemaga na wewe una karama unatibu watu unasafisha nyota na mambo kama hayo watu wengine wakazama inbox sijui mlimalizanaje, tena na wee walimwengu wakakunyoosha tabibu?
Inaonesha una mengi ya kushare uje utupe mkasa watu tujifunze dear
Bado uwezo huo unao? Ukimuangalia mtu unaona shida zake?Uongoo nimesema naona shida za watu
Ndio kama anashida mana wengine ni waganga wanakuja kukuchora so waukweli wanapewa majibuBado uwezo huo unao? Ukimuangalia mtu unaona shida zake?