Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ok,najua ni tabia mbaya ishu ni kwamba hata mwananume ana wajibu wa kuikataa tabia mbaya anayomwona nayo mwanamke,kwa upande wangu cwezi kufanya upupu huo coz cna uwezo wa kugawa upendo wangu kwa watu zaidi ya mmoja, na siwezi kuolewa na mtu nisiyempenda.Cantalisia; Si sahihi kabisa kufanya huu umalaya,lkn mbona kama imebase kwa huyo msichana tu(bi harusi)?kwani huyo bf hakujua mwenzie anaolewa na kama kweli yeye ni mwema basi baada ya kujua mwenzie kapata mme na yeye alikuwa anatumia tu angekataa kuendelea naye, na huyo bf- mtumiaji malaya tu,msiwalaumu wananwake tu kwani huo ubazazi wananfanya na wanaume.
Cantalisia; Hivi wewe kama mwanamke X-BF wako anaweza kukulazimisha utoke kwenu kwenda kulala naye? Sioni tatizo la huyo BF wake hapa bali tatizo ni kwa huyo aliamua kukubali kuolewa na mtu mwingine akiwa bado ana mapenzi mazito kwa huyo x-BF. Mbaya zaidi kesho unaenda kufunga ndoa bado tu unalubuniwa kwenda kulala na X-BF wako, wewe siyo mtoto mdogo kutojuwa hiyo tabia haikubaliki hata kwa shetani....Sasa hicho kiapo unachoenda kukiweka mbele ya Muumba wako kinakuwa na maana yoyote? Badala ya kukaa na kumwomba Mungu akujalie ndoa yenye furaha na upendo wewe unakaa ukimuwaza X-BF wako, inatia kinyaa hiyo tabia.
Nikweli hasara ingekuwa kwa binti, na nakubaliana kuwa mwenye makosa ni bint,but naamini hata huyo bf alikuwa na makosa kwann akubali kuendelea naye ile hali anajua ni mchumba wa mtu?mie siwezi kukubali jambo hilo coz pendo langu ni kwa ajili ya mtu mmoja na siwezi kuolewa na mtu nisiyempenda.kosa lipo kwa gel,kwani mambo yangesanuka, mpotezaji angekuwa ni yeye. ina maana wewe hata kama watu
wanajua ni wa mtu wakikutokea unawakubalia? (samahani lkn nakutania)