Cantalisia; Si sahihi kabisa kufanya huu umalaya,lkn mbona kama imebase kwa huyo msichana tu(bi harusi)?kwani huyo bf hakujua mwenzie anaolewa na kama kweli yeye ni mwema basi baada ya kujua mwenzie kapata mme na yeye alikuwa anatumia tu angekataa kuendelea naye, na huyo bf- mtumiaji malaya tu,msiwalaumu wananwake tu kwani huo ubazazi wananfanya na wanaume.
Cantalisia; Hivi wewe kama mwanamke X-BF wako anaweza kukulazimisha utoke kwenu kwenda kulala naye? Sioni tatizo la huyo BF wake hapa bali tatizo ni kwa huyo aliamua kukubali kuolewa na mtu mwingine akiwa bado ana mapenzi mazito kwa huyo x-BF. Mbaya zaidi kesho unaenda kufunga ndoa bado tu unalubuniwa kwenda kulala na X-BF wako, wewe siyo mtoto mdogo kutojuwa hiyo tabia haikubaliki hata kwa shetani....Sasa hicho kiapo unachoenda kukiweka mbele ya Muumba wako kinakuwa na maana yoyote? Badala ya kukaa na kumwomba Mungu akujalie ndoa yenye furaha na upendo wewe unakaa ukimuwaza X-BF wako, inatia kinyaa hiyo tabia.