Seynag amepotelea wapi?

Seynag amepotelea wapi?

Jurrasic Park

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2013
Posts
3,801
Reaction score
6,806
Habari

Mwaka 2010 huyu mwanadada alivuma na wimbo wake 'Inatosha basi' baadaye akaja na wimbo 'nafsi inauma' na mwishowe akatoa collabo na Mtoto wa Tandale baadaye akapotea.

Natamani kumsikia huyu dada akirudi kwenye gemu maana ana sauti nzuri sana na ka miss haswa.

Natamani arudi kwenye gemu nipo tayari kumsapoti huyu dada arudi nifurahie melody zake kutoka Jupiter record
 
Acha ujjinga Unatamani kumsapoti mke wa mtu umeongea na mumewe?
 
Habari

Mwaka 2010 huyu mwanadada alivuma na wimbo wake 'Inatosha basi' baadaye akaja na wimbo 'nafsi inauma' na mwishowe akatoa collabo na Mtoto wa Tandale baadaye akapotea.

Natamani kumsikia huyu dada akirudi kwenye gemu maana ana sauti nzuri sana na ka miss haswa.

Natamani arudi kwenye gemu nipo tayari kumsapoti huyu dada arudi nifurahie melody zake kutoka Jupiter record
Anakula urojo zanzbala huo yahee nenda utamkuta anakula tende yahee
 
Dimond aliiba nyota yake kama alivyofanya kwa Keisha na Hawa wa Nitarejea.
 
Back
Top Bottom